Ukichelewa kuoa hadi miaka 40 utapata shida kumpata mwanamke utayendana naye

Nimekuelewa sana point yako, hapondipo nagundua kila niliyekuwa namchumbia hakuwa mtu sahihi kwangu ndio maana nazidi kushuka kimaendeleo
 
Kwa nyakati hizi mtu kuoa ukiwa na miaka 40 siyo tatizo na wala hawezi kukosa mwanamke mwenye sifa nzuri wa kuolewa naye. Sema mtu analzimika kuoa mapema ili kukwepa kuacha watoto yatima au kukosa mtoto wa kumsaidia uzeeni.
 
Naomba muongozo wa hao wadada mkuu
 
Guys Hamnaga kanuni haya maisha, ila common probability
 
Mama d unaweza kufafanua kidogo para ya pili?
 
Je ukikupenda kama ulivyo siku ukipata ajari, hautajiandaa kisaikolojia?
Kwa hawa dada zetu wa siku hizi akikupenda kama ulivyo na huna pesa basi atakuwa amekupenda kwa dhati kabisa, hata ukipata ajali still ataendelea kukupenda tu!!
 
Huo n mtazamo wako, ustujumuishe wote........kila mtu ana uhuru wa kuiendea njia anayoona n sahihi kwake.
 
Kwa nyakati hizi mtu kuoa ukiwa na miaka 40 siyo tatizo na wala hawezi kukosa mwanamke mwenye sifa nzuri wa kuolewa naye. Sema mtu analzimika kuoa mapema ili kukwepa kuacha watoto yatima au kukosa mtoto wa kumsaidia uzeeni.
40 years ndo unaanza kutafuta mwanamke wa kuoa ivi unafikiri at this Age utapata mwanamke gani aliye singo akaendana na wewe
 
Haka katangazo kananifaa.
 
Vjana oeni mapema
Mwenzenu nimeoa umri umeenda manjonjo na mahaba ninayopewa najilaumu kwanini sikuoa mapema ili nifaidi vizuri

Asikwambie mtu mapenzi ya ujanani yananoga Sana yaani style zote unapewa, najuta kuchelewa kuoa mapema
 
Apa kuna wanao jifariji kutokuoa mapema Wanaume mnatakiwa mjue hii dunia imebadilika miaka 40 huo n umri wa uzee kwa dunia ya sasa ukioa mapema kuna faida nying kuna Mamb unayapokea Ukiwa na nguvu na ujana n rahis kutatua changamoto zitakazojitokeza oen mapema vijana wenzangu maisha ndo haya n vizur Ukiwa na hiyo miaka 40 mtoto awe secondary
 
Mkuu povu la nini? Si uowe tu huyo unaemfuga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…