Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Ukichelewa kuolewa kuoa hii ni shida

Ndoa ni tendo kama hakuna tendo ni kaz bure. Lazima watu wazagamuane haswaa maana ukishapiga ugali ukashiba haswa lazima rungu lisimame litake mambo. Sasa kama baada ya kula rungu halisimam jichunguze mara mbili
 
Ndoa n zaid ya sex…

Bytheway,mkishaanza kuishi pamoja sex inakua sio priority tena,kwnye ndoa kusex mara 1/2 kwa mwez n kawaida tu


Zingatia mambo mengne ya msingi,hasa yanayokupa aman na utulivu.
 
Ni kweli maana haelewi
Kwa anachofanya mzazi wake wanamuaminisha kuwa bado yupo vizuri ndiyo mana nadhani wangemjenga kisaikolojia kukubali hali yake kwanza nadhani angefurahia maisha zaidi, baba mtu hawazi siku atakapopotea kwenye uso wa dunia atakuaje mwanae bila yeye anamtengenezea mateso badae.
 
Back
Top Bottom