William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?.
Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia.
Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora.
GSM yupo kufanya unyonyaji. Wamejibrand kupitia yanga lkn wanaiacha yanga ikiwa ovyo mwaka Hadi mwaka.
Kitu pekee walichofanikiwa NI kwenye propaganda. Kwanza walikaa karibu na Manara toka awali ili asiwalenge na kufanya vibaya kwa yanga.
Timu kubwa Kama yanga inataka uwekezaji haswa kitakwimu sio propaganda. Tujue Mo hutumia B. 4 kwa mwaka kwa Simba. GSM hutumia kiasi gani.
Na ukweli NI kuwa bila yanga GSM ilikuwa sio kitu kabisa. Na ukweli kwa alivyofanikiwa kwenye propaganda GSM.
Tunaojua soka la yanga tunamkumbuka na Abasi Gulamali, Yanga wanakuwa mabingwa wa kistoria kupitia yeye. Yanga ya makombe ndio yeye. Mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki na Kati.
Tujiulize huyu GSM anamizizi yanga au kaingia kidili dili tu.
Mo kuanzia babu yake wote ni Simba je huyu GSM mizizi yake NI soka. Ivi awaoni ata akina chikwembe.
Update 08/09.....
Leo the GSM na faida yote wanayopiga wanashindwa kukamilisha sajili za wachezaji muhimu kabisa. Huu NI wizi na ukatili mkubwa kwa yanga