Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

Yanga Haina wachezaji wa gharama. NI duni kabisa. Wachezaji wengi imewaviziA wakiwa wamemaliza mikataba. Hajavunja kabati kabisa kuleta wachezaji . Au anachukua kwa mkopo.
 
Kwahiyo siku mtakayokosa kombe nyie mashabiki ndo siku mtakayoamka kutoka usingizini na kumfurusha Muddy Kwa au mngeanza kuamka sasa hivi.,
 
Yanga hata asipochukua kombe misimu kumi ila akimfunga simba mara moja anaridhika sana

Na pia ni mwepesi sana kukata tamaa na kuwageukia viongozi wa ligi endapo akibutuliwa na simba afu at the same time komne hana

Sema usajili kidogo huu wa manara unaweza ukawapa impact sana wakaongoza ligi tena, imagine makambo kafichwa na kishindo cha haji kitu ambacho kingemfanya a trend sana endapo kama haji hajasajiliwa
 
Kwahiyo siku mtakayokosa kombe nyie mashabiki ndo siku mtakayoamka kutoka usingizini na kumfurusha Muddy Kwa au mngeanza kuamka sasa hivi.,
Na Hilo kombe wanalikosaje kwa mfano. Ukiangalia usajili, Benchi la ufundi na program za mafunzo na timu zote zinajieleza. Wanatumia fedha na nguvu zote kufanya maandalizi. Hawabahatishi. Sasa kombe tutawanganyaje?; Au kwa kuroga.
 
Waswahili wanasema "YETU MACHO[emoji102]"
 
Njoo utuambie leo GSM wameshindwa vip kukamilisha usajili wa wachezaji muhimu na Mo kawezaje?. Alafu wanakuja na propaganda tena
 
GSM yupo ki propaganda tu so kujenga timu. Tuliaminishwa eti tutamchukua Miquison alafu tunashindwa kuwalipia ata wale wanamziki watatu wa kongo. Tuwe siliasi tusifanwe watoto
 
GSM yupo ki propaganda tu so kujenga timu. Tuliaminishwa eti tutamchukua Miquison alafu tunashindwa kuwalipia ata wale wanamziki watatu wa kongo. Tuwe siliasi tusifanwe watoto
Nashukuru kwa maoni yako ndugu mwandishi kama kamati tutalifanyia kazi maoni yako
 
Shida unaangalia Mambo kiushabiki Sana. Kunasehemu Wana yanga tuangalie haya Mambo kiuhalisia.
Haya huyo mudi wao uko hatujasikia Mchezaji kucheleweshewa mshahara au anadaiana na timu. Mo amekubali kuumia na timu. Na ndio maana uvumilivu unamshinda ata chama alivyoonekana kumsifu yule Yuda. Hujui Mudi anaumia kiasi gAni mpaka anatamani kujitoa.
Ila kwa GSM daaah NI uhuni mtupu. Kwanzza anachagua wachezaji labda watatu Hadi sita atakaowalipa wengine wote timu inapambana.
Na mwisho wa siku matokeo ndio yanayoonesha uhalisia wa Nani yupo kwaajili ya timu
 
toka GSM aingie nani hajapata au kucheleweshwa mshahara?

Wewe ni likolo unaona unataka yanga irudi kule kule
Haya kumbe kocha wenu hana hata leseni huko mlimuokota wapi? Nani mjanja mjanja hapo?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mshahara upi wa kusumbua mpaka useme hivyo. Kumbe ata usajili hatununui ila tunavizia wanaokataliwa au kumaliza mikataba. Ivi mbona ata akina namungo na biashara wote wanalipa mishahara. Udhamini wa sportpesa pekee unalipa mishahara iyo ya ki GSM. Angekuwa na wachezaji wa mamilion sawa.
Huyu Jamaa katubana kwa kuangalia njaa zetu
 
Mshahara mwanzo ulikuwa unasumbua mbona kabla ya GSM kuja ulikuwa tofauti na huu? Mbona psg wamemchukua Messi akiwa huru? Ina maana ni mchezaji mbovu kuliko sakho au muhilu mliyenunua!
 
Mshahara mwanzo ulikuwa unasumbua mbona kabla ya GSM kuja ulikuwa tofauti na huu? Mbona psg wamemchukua Messi akiwa huru? Ina maana ni mchezaji mbovu kuliko sakho au muhilu mliyenunua!
Kwa mess iyo NI tofauti kidogo. Messi Yuko huru kwa kuangalia umri na mshahara na Mchezaji pekee kuchukuliwa na timu kubwa msimu huu akiwa huru.

Sasa Sisi timu kubwa kabisa Tanzania wachezaji wote tunavizia wanaomaliza mikataba na wanaokosa namba na kuomba kuvunja mikataba kweli?!

Nini maana ya kuwa na mfadhili Sasa. So Bora tuwe Kama biashara au Namungo tu. Kushindwa kulipa mshahara NI upigaji wa viongozi wetu.
Timu ya kulia na mishahara NI watani zetu tu. Karibu wachezaji 13 wa kimataifa. Tena wanasajili sio kuokota wanaotemwa. Tuwe siliasi jamani. GSM anafaidika kupitia njaa zetu.
 
Naomba nikupuuze hujui kitu
 
Naomba nikupuuze hujui kitu
Uwazi ukiwa huru., Ukiweka ushabiki pembeni Mambo yako wazi kabisa. Humuoni Akina Riziwani Kikwete wanavyochambua. Timu iko bize na akina Manara kufanya propaganda lkn maandalizi na usajili NI ovyo ovyo kabisa
 
Ushabiki maandazi, tusubiri msimu uishe, muda ndio msema kweli, caf mnahitaji maajabu zaidi ya chelsea 2012 ama ya Liverpool 2005, bora ligi mtaunga mbele kwa mbele ila CAF kazi ipo, timu haijaunga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…