Alpaslan Bey
Senior Member
- Nov 4, 2023
- 121
- 163
CCM mbona mnaiogopa CDM sana?Haya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa,
"Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama".
Kwa tafsiri hii ya Chacha Wangwe ni dhahiri chama chenye muelekeo huu kikipewa dola tumaweza kujikuta tunashuhudia matumizi ya kawaida yakiwa asilimia 85 na matumizi ya fedha za matumizi ya maendeleo ni asilimia 15.
Kila mwaka CAG anakagua matumizi yao ya fedha na hajawahi sema yana-arufu ya ufisadiHaya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa,
"Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama".
Kwa tafsiri hii ya Chacha Wangwe ni dhahiri chama chenye muelekeo huu kikipewa dola tumaweza kujikuta tunashuhudia matumizi ya kawaida yakiwa asilimia 85 na matumizi ya fedha za matumizi ya maendeleo ni asilimia 15.
Rejea ripoti ya 2014, 2015, 2017, 2019 na 2021Kila mwaka CAG anakagua matumizi yao ya fedha na hajawahi sema yana-arufu ya ufisadi
Kwa hiyo Wangwe alikuwa ni mwanachama wa CCMCCM mbona mnaiogopa CDM sana?
Ukweli ni kwamba CHADEMA sio wasafi kama wanavyojinasibu. Matendo yao mengi yanaonyesha jinsi walivyoUkisoma hotuba ya Vhacha Wangwe utapata majibu kuwa kweli chadema ni kikoba cha Mbowe.
Mnamsifia mfanyabiashara mkubwa kumbe hana lolote, biashara yake ni ruzuku.
Kwamba CAG naye alipewa hela na Mama Abdu
Nani kasema??? Sahivi umepoa sana mkuu?? Tunazimiss threads zakoKwamba CAG naye alipewa hela na Mama Abdul?
Vuta SubraN
Nani kasema??? Sahivi umepoa sana mkuu?? Tunazimiss threads zako
Mbowe ndiyo mhasibu mkuu idara ya pesa yupo Mbowe mwenyewe hataki mtu yeyote asogee hapo hata katibu mkuu hana mamlaka juu ya pesa za chama na hii imemwezesha mbowe kufuja kuiba pesa za chama bila kizuizi chochote na kuzitumia kuwa chawa wake kumlinda pindi ikitokea wajumbe kuhoji chochoteHaya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa,
"Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama".
Kwa tafsiri hii ya Chacha Wangwe ni dhahiri chama chenye muelekeo huu kikipewa dola tumaweza kujikuta tunashuhudia matumizi ya kawaida yakiwa asilimia 85 na matumizi ya fedha za matumizi ya maendeleo ni asilimia 15.
Mbowe ndiyo mwizi huibs pesa za chama peke yake kisha kula na chawa ili wamlindeUkweli ni kwamba CHADEMA sio wasafi kama wanavyojinasibu. Matendo yao mengi yanaonyesha jinsi walivyo
Sawa mkuu.Vuta Subra
Daaaah!! Hawa chawa ndio kuna mgombea kasema anataka kukomesha wasiwepo kwani badala ya kuwepo kwa maslahi ya chama wao wanakuwepo kwa maslahi ya viongoziMbowe ndiyo mhasibu mkuu idara ya pesa yupo Mbowe mwenyewe hataki mtu yeyote asogee hapo hata katibu mkuu hana mamlaka juu ya pesa za chama na hii imemwezesha mbowe kufuja kuiba pesa za chama bila kizuizi chochote na kuzitumia kuwa chawa wake kumlinda pindi ikitokea wajumbe kuhoji chochote