Alpaslan Bey
Senior Member
- Nov 4, 2023
- 121
- 163
Haya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa,
"Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama".
Kwa tafsiri hii ya Chacha Wangwe ni dhahiri chama chenye muelekeo huu kikipewa dola tumaweza kujikuta tunashuhudia matumizi ya kawaida yakiwa asilimia 85 na matumizi ya fedha za matumizi ya maendeleo ni asilimia 15.