Ukichunguza kwa jicho la ndani utagundua ya kwamba matumizi ya ruzuku ndani ya CHADEMA tangu zamani yana harufu ya ufisadi

Alpaslan Bey

Senior Member
Joined
Nov 4, 2023
Posts
121
Reaction score
163
Haya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa,

"Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama".

Kwa tafsiri hii ya Chacha Wangwe ni dhahiri chama chenye muelekeo huu kikipewa dola tumaweza kujikuta tunashuhudia matumizi ya kawaida yakiwa asilimia 85 na matumizi ya fedha za matumizi ya maendeleo ni asilimia 15.
 
CCM mbona mnaiogopa CDM sana?
 
Kila mwaka CAG anakagua matumizi yao ya fedha na hajawahi sema yana-arufu ya ufisadi
 
Ukisoma hotuba ya Vhacha Wangwe utapata majibu kuwa kweli chadema ni kikoba cha Mbowe.

Mnamsifia Mbowe kuwa ni mfanyabiashara mkubwa kumbe hana lolote, biashara yake ni ruzuku.
 
Ukisoma hotuba ya Vhacha Wangwe utapata majibu kuwa kweli chadema ni kikoba cha Mbowe.

Mnamsifia mfanyabiashara mkubwa kumbe hana lolote, biashara yake ni ruzuku.
Ukweli ni kwamba CHADEMA sio wasafi kama wanavyojinasibu. Matendo yao mengi yanaonyesha jinsi walivyo
 
Haya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa,

"Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama".

Kwa tafsiri hii ya Chacha Wangwe ni dhahiri chama chenye muelekeo huu kikipewa dola tumaweza kujikuta tunashuhudia matumizi ya kawaida yakiwa asilimia 85 na matumizi ya fedha za matumizi ya maendeleo ni asilimia 15.
Mbowe ndiyo mhasibu mkuu idara ya pesa yupo Mbowe mwenyewe hataki mtu yeyote asogee hapo hata katibu mkuu hana mamlaka juu ya pesa za chama na hii imemwezesha mbowe kufuja kuiba pesa za chama bila kizuizi chochote na kuzitumia kuwa chawa wake kumlinda pindi ikitokea wajumbe kuhoji chochote
 
Mbowe kala pesa nyingi za chama ndiyo maana hataki kutoka kwa hofu kuwa mwenyekiti mpya atagundua madudu yake yote
 
Mbowe ndiyo mhasibu mkuu idara ya pesa yupo Mbowe mwenyewe hataki mtu yeyote asogee hapo hata katibu mkuu hana mamlaka juu ya pesa za chama na hii imemwezesha mbowe kufuja kuiba pesa za chama bila kizuizi chochote na kuzitumia kuwa chawa wake kumlinda pindi ikitokea wajumbe kuhoji chochote
Daaaah!! Hawa chawa ndio kuna mgombea kasema anataka kukomesha wasiwepo kwani badala ya kuwepo kwa maslahi ya chama wao wanakuwepo kwa maslahi ya viongozi
 
Back
Top Bottom