Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Umejuaje?2.unyumba mnanyimana
Halafu,kwa nini uchunguze kwa umakini?Kuchunguza kwa umakini hupelekea kutaka kujua yoooteee.Na ukitaka kujua yote kuna baadhi yatakuacha na utata.Huo utata utakutoa relini na kubaki unawayawaya tu au umebung'aa.Hapo ndipo unapokwama.Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu ,matatizo kama vile magojwa ya moyo,stress,afya ya akili,kisukali n.k mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa
Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini
1.ugomvi haushi ndani ya nyumba
2.unyumba mnanyimana
3.wanaume wengine wanachelewa kurudi nyumbani kisa wanawaogopa wake
4.kesi za kuchepuka haziishii
5.dhalau,kejeliiiiii
Sasa hii ndoa au mateso
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Si kweli.Mateso yanaanzia kwenye mawazo na hisia zenu tu.Ndoa ni bonge la taasisi ya wenye kutumia fikra huru.Kila mtu na support...kweli ni mateso
Kwa nn hii elimu huwa hamuitoiINi mateso kama huna elimu ya kujua mtu sahihi.
Ukimpata wa kufanana nawe mateso utayasikia kwa wengine.
Elimu zingine unajitafutia mwenyewe.Hauzikuti darasani.Kwa nn hii elimu huwa hamuitoiI
Marriage is Man made prison, FREEDOM HAPPINESS AND love is all i need NishaondokaUmejuaje?
Sawa ila siku yakikufikia usisahau kutujuzaSi kweli.Mateso yanaanzia kwenye mawazo na hisia zenu tu.Ndoa ni bonge la taasisi ya wenye kutumia fikra huru.
Ni mfungwa wa mawazo-hasi uliyonayo.Furaha na uhuru ni mambo unayoweza kuyaumba moyoni mwako au machini mwako kwa hiyari yako mwenyewe.Au ukapata kinyume chake.Marriage is Man made prison, FREEDOM HAPPINESS AND love is all i need Nishaondoka
Yametokea mengi.Lakini,si hoja ya kukataa ndoa.Kukata tamaa ni aina ya mzizi wa dhambi na kufuru.Sawa ila siku yakikufikia usisahau kutujuza
Ndoa zina mateso ila kuna raha nyingi sana kuliko mateso! Kwa kawaida binadamu huangalia tu makosa. Sikiliza hii clip utaelewa nasema niniNajua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu ,matatizo kama vile magojwa ya moyo,stress,afya ya akili,kisukali n.k mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa
Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini
1.ugomvi haushi ndani ya nyumba
2.unyumba mnanyimana
3.wanaume wengine wanachelewa kurudi nyumbani kisa wanawaogopa wake
4.kesi za kuchepuka haziishii
5.dhalau,kejeliiiiii
Sasa hii ndoa au mateso
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Aliyeumba mapenzi, hakusema yana maumivuNajua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu ,matatizo kama vile magojwa ya moyo,stress,afya ya akili,kisukali n.k mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa
Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini
1.ugomvi haushi ndani ya nyumba
2.unyumba mnanyimana
3.wanaume wengine wanachelewa kurudi nyumbani kisa wanawaogopa wake
4.kesi za kuchepuka haziishii
5.dhalau,kejeliiiiii
Sasa hii ndoa au mateso
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Inapatikana kwa anaehitafutaKwa nn hii elimu huwa hamuitoiI
Naipata wapi mkuu naomba kuelekezwa nijifunze.Inapatikana kwa anaehitafuta