Ukichunguza kwa umakini ndoa ni Shimo la mateso matupu

Ukichunguza kwa umakini ndoa ni Shimo la mateso matupu

Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu ,matatizo kama vile magojwa ya moyo,stress,afya ya akili,kisukali n.k mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa

Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini

1.ugomvi haushi ndani ya nyumba

2.unyumba mnanyimana

3.wanaume wengine wanachelewa kurudi nyumbani kisa wanawaogopa wake

4.kesi za kuchepuka haziishii

5.dhalau,kejeliiiiii

Sasa hii ndoa au mateso

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ulichoandika sio matatizo ya ndoa bali ni matatizo ya watu binafsi wanaojiita wana ndoa
 
Ni mateso kama huna elimu ya kujua mtu sahihi.
Ukimpata wa kufanana nawe mateso utayasikia kwa wengine.
Hakunaga elimu ya mtu sahihi hizo ni story tuu katika uchumba binadamu always tunafake maisha before ndoa ila tukishafunga ndoa uhalisia wetu ndo huanza kuonekana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ukifanya ngono na mtu kabla ya kumchunguza huwezi ona tabia zake mbaya.
Hakuna binadamu anaebadilika tabia hizo ndizo tabia zake ulikuwa kipofu sababu ulikuwa na nyege nae zimeisha SAsa upofu umeondoka.
Watu wa mila na dini kupinga ngono kabla ya ndoa awakuwa wajinga. Lengo ni kuzuia kuunganisha nafsi ukiunganisha nafsi na mtu huwezi yaona mabaya yake.
Kwenye ndoa ni miezi 3 tu nyege uisha then unamuona wa kawaida tu, hapo kinachobakia kushika ndoa ni tabia na kuendana pekee.
 
Binafsi ndoa imenidisappointments sana, bahati mbaya tena ndoa za kikristo ambazo no return kwa kweli tunakutana na changamoto kubwa sana.
Lakini kwaajili ya uzazi na malezi kwa maslahi ya taifa leo na kesho acha ndoa ziendelee maana kwa ujumla maisha ya mwanadamu ni mateso tu na ndoa ni sehemu moja wapo ya mateso ya binadamu.

Kwa sisi wa kristo tumeambiwa kila mtu abebe msalaba wake kuekekea kalvari ya mbinguni.
 
Ukifanya ngono na mtu kabla ya kumchunguza huwezi ona tabia zake mbaya.
Hakuna binadamu anaebadilika tabia hizo ndizo tabia zake ulikuwa kipofu sababu ulikuwa na nyege nae zimeisha SAsa upofu umeondoka.
Watu wa mila na dini kupinga ngono kabla ya ndoa awakuwa wajinga. Lengo ni kuzuia kuunganisha nafsi ukiunganisha nafsi na mtu huwezi yaona mabaya yake.
Kwenye ndoa ni miezi 3 tu nyege uisha then unamuona wa kawaida tu, hapo kinachobakia kushika ndoa ni tabia na kuendana pekee.
Sasa wakizalishana wanakimbilia kuoana ili kuficha aibu means hapo hawajachunguza baadae balaa lazima litokee.
 
Ni mateso tuu endapo tutakosa mambo ya msingi
1, kila mtu kushindw kusimama katk nafasi yake

2:- kipato cha kukiz nahitaji ya familia.
 
Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu, matatizo kama vile magojwa ya moyo, stress, afya ya akili, kisukali n.k, mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa.

Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini;

1. Ugomvi haushi ndani ya nyumba.

2. Unyumba mnanyimana.

3. Wanaume wengine wanachelewa kurudi nyumbani kisa wanawaogopa wake.

4. Kesi za kuchepuka haziishi.

5. Dharau, kejeli.

Sasa hii ndoa au mateso?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sabuni 790 usijisumbue Sana na ndoa utapata presha tu
 
Back
Top Bottom