Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nilishawekaga uzi humu watu wakapuuzia. Lazma mwanamke akae probation na wewe hata mwaka mzima. Mwanamke chenga utamjua tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishawekaga uzi humu watu wakapuuzia. Lazma mwanamke akae probation na wewe hata mwaka mzima. Mwanamke chenga utamjua tu.
Kwa hiyo sisi wenye 27 tusioe!?Suitable for person above 45
🙇😔Nimekufanyia Nini tena mama zulu.
Ndio sababu unashauriwa mda wa uchumba uwe mrefu ili mchunguzane kwa makini. Ukifanya hilo zoezi vizuri utagundua ndoa ni faraja. Ona vichwa viwili vinavyoelewana vinafanya kazi kwa pamoja, ni maendeleo katika familia. Na mzingatie haya maneno "samahani, salamu, Asante, Mimi nimekaa naye for almost 8 years, Utaniambia nini? ayaonyshayo baada ya ndoa ni tofauti na wakati wa uchumba.
Mkikamatwa ni mwendo wa kupakwa mafuta.Na wake zenu tunawala sana
Mwanamke mweny kazi ndo balaa lake pambana na matatizo yako.Ninachoweza kusema, Ndoa ni mateso sana sana. Mimi nina miaka 6 kwenye ndoa sijakaa na mke wangu kwa takribani miaka miwili mpaka alipohamishwa kuja mkoa ninalofanyia kazi, Dah niliwish sana aje walau niondokane na upweke niliokuwa nao. Ninampenda sana kiasi kwamba kuchepuka imekuwa kama alarm, kila ninapotaka kufanya hivyo nikimkumbuka najikuta naacha. Sasa baada ya kuhamia yaani amekaa tu miezi miwili tabia yake ikaanza kubadilika tumebahatika kupata watoto wawili, cha ajabu. Sometimes ananiambia waogeshe hao wanao..Mimi nikiendelea kupika jikoni. Offcourse si mbaya kwangu kuogesha wanangu lakini lugha anayoitumia utafikiri mimi ni mdogo wake. Kibaya zaidi unakuta nimewahi kurudi nyumbani walau nikashinde naye, nikiiingia chumbani namkuta amelala, ile nafungua tu mlango analalamika kusema ahaa umerudi ahaa huchelewi kidog walau nilale, hapo ni saa moja jioni , hajaanza hata kupika chakula. Offcourse tunaweza kukaa hata siku nne bila kuongea kisa kitu kidogo sana mpaka mimi nianze kumwongelesha. zamani tulikuwa tunakula wote chakula kwenye sahani moja, siku hizi hataki kabisa yaani...Unajiuliza hivi si bora angeendelea na kazi yake huko singida? maana radha ya ndoa imekuwa chungu kweli. Naweza rudi usiku sana toka kazini kutokana na changamoto za kazi, nikamjulisha kuwa leo nitachelewa kurudi, yaani inaweza fika hata saa tano usiku hajakupigia simu, ni mtu asiyejali kabisa, mbaya zaidi ukifika akikufungulia mliango hakuna kukupokea wala cha pole, yeye ni ndani huku hapo nimebeba vyakula, zawadi yake na vitu vyangu vya kazini. Achana na lile la kitandani, huwa najitahidi sana kumpa haki yake ipasavyo, mpaka nihakikishe ameridhika na nimelowana, ndipo sa naamini tupo pamoja, Matumizi pamoja na kwamba ana mshahara wake sijawahi mwomba hela, bali kila mwisho wa mwezi nampa hela ya matumizi.
Sasa pamoja na yote haya unajiuliza shida ninini? yaani ndoa imekuwa chungu mno aisee...natamani nirudi kuishi mwenyewe, kwanza speed ya maendeleo ilikuwa kubwa zaidi, Nilifungua ofisi mbili na zilikuwa zinaendelea vyema, lakini huwezi amini toka nifungue hajawahi kaa dukani hata weekend moja tu toka subuhi mpaka jioni, na hata nikiomba nimpe hela akajumue vitu siku ya weekend anasema, hawezi, hiyo kazi ni ngumu mno...yani imekuwa shida juu ya shida.
Njoo chemba mara moja
Mkuu kugonga na kuhemea kunahitaji elimu?Kwa nn hii elimu huwa hamuitoiI
Namba gani, wengine tupo serious hatutishiwi chambo.Natafuta mchumba kwenye hii thread, nicheki kwa namba hii
Mwanamke mbinafsi ndio tatizo sio hata mwenye kazi.Mwanamke mweny kazi ndo balaa lake pambana na matatizo yako.
👍Mwanamke mbinafsi ndio tatizo sio hata mwenye kazi.
Mwanamke mbinafsi anaweza kuwa na tabia yeyote katika hizi:
1.Hajali hisia zako
2.Hawezi kukusikiliza
3.Hana Upendo na ndugu zako
4.Mchoyo wa vyakula
5.Hataki kukushirikisha kwenye maswala ya uchumi wake
Huwa naepuka sana kuzungumza lolote litakalonitanabaisha kama mjuzi wa haya mamboNi mateso kama huna elimu ya kujua mtu sahihi.
Ukimpata wa kufanana nawe mateso utayasikia kwa wengine.
Ha hah aha hahhahaaaaaaaaaaBado unakaa na jitu linajinunisha tu muda wote, hayo ni zaidi ya mateso.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣kataa ndoa hata ndotoniUshauri wako,tufanyaje tuepushe haya kwenye ndoa??
Mnafarijiana.Ni mateso kama huna elimu ya kujua mtu sahihi.
Ukimpata wa kufanana nawe mateso utayasikia kwa wengine.