dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
yep yep, na haka kamvua nimetoka sawazisha siyo mda mrefu, swaafi kabisaExactly bro alafu inakata stimu mapema hivyo kukusaidia ufocus kwenye vitu vya msingi zaidi 😑
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yep yep, na haka kamvua nimetoka sawazisha siyo mda mrefu, swaafi kabisaExactly bro alafu inakata stimu mapema hivyo kukusaidia ufocus kwenye vitu vya msingi zaidi 😑
Partnership yeyote sio ndoa tu inaweza kupitia hayo yote kutokana na tofauti binafsi.Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu, matatizo kama vile magojwa ya moyo, stress, afya ya akili, kisukali n.k, mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa.
Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini;
1. Ugomvi haushi ndani ya nyumba.
2. Unyumba mnanyimana.
3. Wanaume wengine wanachelewa kurudi nyumbani kisa wanawaogopa wake.
4. Kesi za kuchepuka haziishi.
5. Dharau, kejeli.
Sasa hii ndoa au mateso?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
KATAA NDOAKIJANA USIPO OA UTAOLEWA.
Ninachoweza kusema, Ndoa ni mateso sana sana. Mimi nina miaka 6 kwenye ndoa sijakaa na mke wangu kwa takribani miaka miwili mpaka alipohamishwa kuja mkoa ninalofanyia kazi, Dah niliwish sana aje walau niondokane na upweke niliokuwa nao. Ninampenda sana kiasi kwamba kuchepuka imekuwa kama alarm, kila ninapotaka kufanya hivyo nikimkumbuka najikuta naacha. Sasa baada ya kuhamia yaani amekaa tu miezi miwili tabia yake ikaanza kubadilika tumebahatika kupata watoto wawili, cha ajabu. Sometimes ananiambia waogeshe hao wanao..Mimi nikiendelea kupika jikoni. Offcourse si mbaya kwangu kuogesha wanangu lakini lugha anayoitumia utafikiri mimi ni mdogo wake. Kibaya zaidi unakuta nimewahi kurudi nyumbani walau nikashinde naye, nikiiingia chumbani namkuta amelala, ile nafungua tu mlango analalamika kusema ahaa umerudi ahaa huchelewi kidog walau nilale, hapo ni saa moja jioni , hajaanza hata kupika chakula. Offcourse tunaweza kukaa hata siku nne bila kuongea kisa kitu kidogo sana mpaka mimi nianze kumwongelesha. zamani tulikuwa tunakula wote chakula kwenye sahani moja, siku hizi hataki kabisa yaani...Unajiuliza hivi si bora angeendelea na kazi yake huko singida? maana radha ya ndoa imekuwa chungu kweli. Naweza rudi usiku sana toka kazini kutokana na changamoto za kazi, nikamjulisha kuwa leo nitachelewa kurudi, yaani inaweza fika hata saa tano usiku hajakupigia simu, ni mtu asiyejali kabisa, mbaya zaidi ukifika akikufungulia mliango hakuna kukupokea wala cha pole, yeye ni ndani huku hapo nimebeba vyakula, zawadi yake na vitu vyangu vya kazini. Achana na lile la kitandani, huwa najitahidi sana kumpa haki yake ipasavyo, mpaka nihakikishe ameridhika na nimelowana, ndipo sa naamini tupo pamoja, Matumizi pamoja na kwamba ana mshahara wake sijawahi mwomba hela, bali kila mwisho wa mwezi nampa hela ya matumizi.Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu, matatizo kama vile magojwa ya moyo, stress, afya ya akili, kisukali n.k, mengi yamewapata binadamu wengi baada ya kuingia kwenye ndoa.
Hebu fikiria watu mpoo ndani ya ndoa lakini;
1. Ugomvi haushi ndani ya nyumba.
2. Unyumba mnanyimana.
3. Wanaume wengine wanachelewa kurudi nyumbani kisa wanawaogopa wake.
4. Kesi za kuchepuka haziishi.
5. Dharau, kejeli.
Sasa hii ndoa au mateso?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hakika ni mateso makali aisee....usiombe.Kama ulivyonifanyia Jana...aisee🙌Kila mtu na support...kweli ni mateso
Nimekufanyia Nini tena mama zulu.Hakika ni mateso makali aisee....usiombe.Kama ulivyonifanyia Jana...aisee🙌
...in motivation speaker voice!Ni mateso kama huna elimu ya kujua mtu sahihi.
Ukimpata wa kufanana nawe mateso utayasikia kwa wengine.
Umemaliza yote mkuu[emoji4][emoji119][emoji1431]Ndoa inaundwa na watu wawili na lazma muwe mmejuana inside out.
Hakikisha mwanamke wako anayajua madhaifu yako na wewe unayajua yake kisha ndio mfanye maamuzi sasa ya kuoana. Ikiwa hutayajua madhaifu ya mwenza wako basi ujue ndoa yenu ikimaliza miezi 6 bila mgogoro Mungu anawapigania.
Shida nayoiona wengi huwa tunagubikwa na fantasies na kusahau kuwa ndoa ni uhalisia. Ndoa sio maigizo hivyo kila mtu lazma awe real na mwenzake.
Ninachoweza kusema, Ndoa ni mateso sana sana. Mimi nina miaka 6 kwenye ndoa sijakaa na mke wangu kwa takribani miaka miwili mpaka alipohamishwa kuja mkoa ninalofanyia kazi, Dah niliwish sana aje walau niondokane na upweke niliokuwa nao. Ninampenda sana kiasi kwamba kuchepuka imekuwa kama alarm, kila ninapotaka kufanya hivyo nikimkumbuka najikuta naacha. Sasa baada ya kuhamia yaani amekaa tu miezi miwili tabia yake ikaanza kubadilika tumebahatika kupata watoto wawili, cha ajabu. Sometimes ananiambia waogeshe hao wanao..Mimi nikiendelea kupika jikoni. Offcourse si mbaya kwangu kuogesha wanangu lakini lugha anayoitumia utafikiri mimi ni mdogo wake. Kibaya zaidi unakuta nimewahi kurudi nyumbani walau nikashinde naye, nikiiingia chumbani namkuta amelala, ile nafungua tu mlango analalamika kusema ahaa umerudi ahaa huchelewi kidog walau nilale, hapo ni saa moja jioni , hajaanza hata kupika chakula. Offcourse tunaweza kukaa hata siku nne bila kuongea kisa kitu kidogo sana mpaka mimi nianze kumwongelesha. zamani tulikuwa tunakula wote chakula kwenye sahani moja, siku hizi hataki kabisa yaani...Unajiuliza hivi si bora angeendelea na kazi yake huko singida? maana radha ya ndoa imekuwa chungu kweli. Naweza rudi usiku sana toka kazini kutokana na changamoto za kazi, nikamjulisha kuwa leo nitachelewa kurudi, yaani inaweza fika hata saa tano usiku hajakupigia simu, ni mtu asiyejali kabisa, mbaya zaidi ukifika akikufungulia mliango hakuna kukupokea wala cha pole, yeye ni ndani huku hapo nimebeba vyakula, zawadi yake na vitu vyangu vya kazini. Achana na lile la kitandani, huwa najitahidi sana kumpa haki yake ipasavyo, mpaka nihakikishe ameridhika na nimelowana, ndipo sa naamini tupo pamoja, Matumizi pamoja na kwamba ana mshahara wake sijawahi mwomba hela, bali kila mwisho wa mwezi nampa hela ya matumizi.
Sasa pamoja na yote haya unajiuliza shida ninini? yaani ndoa imekuwa chungu mno aisee...natamani nirudi kuishi mwenyewe, kwanza speed ya maendeleo ilikuwa kubwa zaidi, Nilifungua ofisi mbili na zilikuwa zinaendelea vyema, lakini huwezi amini toka nifungue hajawahi kaa dukani hata weekend moja tu toka subuhi mpaka jioni, na hata nikiomba nimpe hela akajumue vitu siku ya weekend anasema, hawezi, hiyo kazi ni ngumu mno...yani imekuwa shida juu ya shida.
Hahahah vijana wa kileo bila kuweka mwanamke ndani mka simulate maisha ya ndoa yanakuwaje jua mtakuja kushindwana tu.Bado unakaa na jitu linajinunisha tu muda wote, hayo ni zaidi ya mateso.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3] simulation muhimuHahahah vijana wa kileo bila kuweka mwanamke ndani mka simulate maisha ya ndoa yanakuwaje jua mtakuja kushindwana tu.