Ukichunguza ni kweli tofauti ya wanaume na wanawake.

Ukichunguza ni kweli tofauti ya wanaume na wanawake.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sisi wanaume ndio washiriki wazuri wa kwenda chooni kukojoa.

Ila wanawake unaweza kukaa naye zaidi la saa moja hata kwenda chooni uwezi kumuona.

Mfano yale mavazi wanayo vaa mpaka unajiuliza hivi anawezaje kuvumilia kubanwa na mkojo.

Hii mada nimekuta wanawake wanatusema sisi wanaume kuwa hatuna heshima kila sehemu tuna jisahidia.
 
Back
Top Bottom