Ukichunguza sana utagundua kuwa Dully Sykes, Abby skills, Mr. Blue,, Ali kiba, Diamond wote ni familia moja kimuziki

Ukichunguza sana utagundua kuwa Dully Sykes, Abby skills, Mr. Blue,, Ali kiba, Diamond wote ni familia moja kimuziki

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Maana wote wametoka kimuziki Gerezani kariakoo

Abby skills kwao mtaa wa kipata

Queen Doreen dada yake Mondi anatokea mitaa hiyohiyo aliwahi kuwa video vixen wa kazi ya Abby Skills na Mr Blue - Mimi Na Wewe pia kuimba na Ally Kiba, Baadae akamleta Diamond mitaa hio kwa Bob junior ambae kwao mtaa wa Lindi

Aliye watoa wakina Abby skills, Mr Blue na ally kiba ni Guru ramadhani mjomba wake Bob Junior,

Mr blue kwao alisoma huko mitaa ya Gerezani ilikuwa rahisi kwake kujuana na watoto wa Kariakoo na kuendeleza kipaji chake
 
Hata kwenye Video ya Mr blue ile Blue Blue wapo Hakeem 5, Alikiba, Bob Junior, Abby skills. Wote ni zao la G records kwenye mikono ya Marehemu Roy
 
Back
Top Bottom