Ukienda katika usaili wa Utumishi hakikisha, una kitambulisho chochote, nakala au namba ya NIDA hazifanyizi kazi

Amina68

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
298
Reaction score
547
Kama Unaenda usaili wa utumishi hakikisha,una ID YOYOTE,COPY AU NAMBA YA NIDA HAZIFANYZI KAZI,UTAPOTEZA PESA NA MUDA WAKO BURE
 
Mtoe huyo kwenye PP yako kwanza, maana kwa sisi Waislamu wa buza tayari yuko uchi...[emoji57][emoji2960]
 
una ID YOYOTE

Hapana. sio ID yeyote, kuna ID za Kazi nazo ni ID ila hazikubaliki huko Utumishi.

ID zinazokubalika ni Kitambulisho cha Kura, NIDA, Leseni ya Udereva, Passport ya Kusafiria.

Kama hautakuwa na vitambulisho vyote hivyo, nenda na barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.
 
Upo sahihi sana kuliko mtoa mada. Barikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nliwahi taka kulia kisa Sina ID, saiv naburuzaga tu mana sijawah Rudia kosa tangia hapo.
 
Back
Top Bottom