Hapana. sio ID yeyote, kuna ID za Kazi nazo ni ID ila hazikubaliki huko Utumishi.
ID zinazokubalika ni Kitambulisho cha Kura, NIDA, Leseni ya Udereva, Passport ya Kusafiria.
Kama hautakuwa na vitambulisho vyote hivyo, nenda na barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.