Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio.
Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda huku wenyewe wakiendelea na tendo.
Mwisho wa siku mtoto amekengeuka unaanza kumtafuta mchawi nani kumbe wewe ndio sababu, wakati unakati mauno ya uzazi na kupiga kelele kama unachinjwa mtoto anakuzoom tu.
Badilika! have a good summer 👋