Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Dadeq😂🙌Ulipaswa umwambie kabla sio umeshamwaga ndio unakuja kumsimanga mdada wa watu JF
Kukengeuka tabia au? Hivi kuna athari zozote kiafya mtoto mdogo anayenyonya anaweza kuzipata kwa wazazi kushiriki tendo la ndoa? Vipi kama ni uzinzi? Unaweza kumharibu mtoto kiafya?Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio.
Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda huku wenyewe wakiendelea na tendo.
Mwisho wa siku mtoto amekengeuka unaanza kumtafuta mchawi nani kumbe wewe ndio sababu, wakati unakati mauno ya uzazi na kupiga kelele kama unachinjwa mtoto anakuzoom tu.
Badilika! have a good summer 👋
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii iliniuzi sana mtoto wa kike wa miaka miwili halafu ni kama anajua nini kinataka kutokea. Mama yake kaniachia trako nishushe pichu kenyewe tumekapa simu kaangalie katuni saangapi kasiache simu kaje kuchungulia nyuma kwa mamake nini kinaendelea dah asee ilikuwa ni tafrani kila mamake akimuweka kwa mbele ili asione waapi nikasema leo nimeyakanyaga..