Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengine yooote ni sawa ingawaje sina uhakika.... Ila mikoa ya lindi na ruvuma nina ushuhuda...Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Arusha umeishi sehemu gani mkuu maana katka wilaya za Arusha sidhani kama kunasehemu jamii ya kilimanjaro imezidiNimeishi Arusha mkuu na jamii ya kule Arusha waliojaa wengi ndio hao wa kutoka Kilimanjaro.
Kwa hiyo naamini tabia wanazozionyesha Arusha ndio hizo hizo za kutoka kwao Kilimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengine yooote ni sawa ingawaje sina uhakika.... Ila mikoa ya lindi na ruvuma nina ushuhuda...
Nlishawah fanyaga businesa kule...
Lindi nilinunua korosha na kuuza..
Na niliwah kununua nazi na niliwah peleka mahind.
Ruvuma niliwah fuga.. Nililima na nlikuwa na duka la vifaa vya simu.
Shida yao kubwa ni umaarufu, wanafanya kwa kujuana saana na sio ubora wa kitu ila unatoboa kirahis saana
Nilishatoka ila nina project zangu za kilimo na ufugaji kuule... Huwa naenda mara kwa mara tu... Siwez kukaa miez mitatu mfululizo bila kuenda...Mkuu bado uko Ruvuma
Ni kweli,kujuana kupo kwa biashara.Nenda Lizaboni,Mfaranyaki,Bombambili,Msamala,Making'inda,Matarawe,Matogoro,Mahenge,Maji Maji nk vigrosary NJE nyumba za watu wanywaji wale wale.Halafu wangoni wanapenda sifa ,show up na kwa majungu hawajambo.Watani zangu wafupi wafupi % kubwa.Labda Wayao,Wandendeure na Wanyasa kidogo warefu.Ila wanyasa kitabia ni kama wahaya.Wamatengo nao SIFA wanapenda sana ila ni wachacharikaji wa Ruvuma.Mengine yooote ni sawa ingawaje sina uhakika.... Ila mikoa ya lindi na ruvuma nina ushuhuda...
Nlishawah fanyaga businesa kule...
Lindi nilinunua korosha na kuuza..
Na niliwah kununua nazi na niliwah peleka mahind.
Ruvuma niliwah fuga.. Nililima na nlikuwa na duka la vifaa vya simu.
Shida yao kubwa ni umaarufu, wanafanya kwa kujuana saana na sio ubora wa kitu ila unatoboa kirahis saana
Nilishatoka ila nina project zangu za kilimo na ufugaji kuule... Huwa naenda mara kwa mara tu... Siwez kukaa miez mitatu mfululizo bila kuenda...
Vipi mkuu unahitaji kukijua nin?
Ni kweli,kujuana kupo kwa biashara.Nenda Lizaboni,Mfaranyaki,Bombambili,Msamala,Making'inda,Matarawe,Matogoro,Mahenge,Maji Maji nk vigrosary NJE nyumba za watu wanywaji wale wale.Halafu wangoni wanapenda sifa ,show up na kwa majungu hawajambo.Watani zangu wafupi wafupi % kubwa.Labda Wayao,Wandendeure na Wanyasa kidogo warefu.Ila wanyasa kitabia ni kama wahaya.Wamatengo nao SIFA wanapenda sana ila ni wachacharikaji wa Ruvuma.
Mzunguko wa Fedha mdogo ila life siyo tough na vyakula ni vingi sana ingawa madawa ya kukuzia ndio nyumbani kwake kuweza kusababisha kansa.
Karibuni Ruvuma Wakuu,naishi Majengo nyuma ya shell ya Kisumapai.
Natamani kufungua biashara ya vifaa vya SIMU na ufundi wa SIMU Songea unashaurije mkuu
Karibu mkuu mi nipo hapa uliza lolote kuhusu RuvumaMkuu bado uko Ruvuma
Karibu mkuu mi nipo hapa uliza lolote kuhusu Ruvuma
a
Inalipa teena saana ila uwe fundi wa uhakika hasa softwarw..... Then uwe mtundu wa kucheza na hizi iphone...Natamani kufungua biashara ya vifaa vya SIMU na ufundi wa SIMU Songea unashaurije mkuu
Mafundi software ni wachache au hawajui? Vipi kuhusu Ufundi computer, modem na Data recovery?Inalipa teena saana ila uwe fundi wa uhakika hasa softwarw..... Then uwe mtundu wa kucheza na hizi iphone...
Alafu pia uwe na ile machine ya kupachua simu zisizo na nati...
Tafuta box la uhakika....
Na uende na bidhaa kwa bei ya dar.
Example.
Protector za plastic kule ni 5000-7000
Inategemea na mteja... Aasa we ukiuza buku 33
Inalipa teena saana ila uwe fundi wa uhakika hasa softwarw..... Then uwe mtundu wa kucheza na hizi iphone...
Alafu pia uwe na ile machine ya kupachua simu zisizo na nati...
Tafuta box la uhakika....
Na uende na bidhaa kwa bei ya dar.
Example.
Protector za plastic kule ni 5000-7000
Inategemea na mteja... Aasa we ukiuza buku 33