Mafundi software ni wachache au hawajui? Vipi kuhusu Ufundi computer, modem na Data recovery?
Mimi napiga zote ila simu nipo kwenye software
Maisha ni popote.. Changamoto za kwenye hiyo mikoa ndio fursa zenyewe...
Umeitaja Simiyu? Unaijua Simiyu lakini? Umeshawahi fika pale makao makuu ya mkoa, Bariadi?
Rungwe ni Wilaya yote unaamanisha au mjini tu.Songea ni manispaa.Kama una linganisha Rungwe mjini na Songea, Songea mzunguko mkubwa.Ukisema Songea DC na Rungwe DC ipi afadhali,itakuwa Rungwe juu zaidi.Mzunguko wa pesa kiujumla Rungwe na Songea upi ni mkubwa.
Asante Mkuu huko lazima nifike ila vipi mzunguko wa pesa
maeneno ya Songea ukoje Mkuu.
Hasa maeneo ya shughuli zinazohusu SIMU iwe kutengeneza au kuuza vifaa vyake.
Mafundi software ni wachache au hawajui? Vipi kuhusu Ufundi computer, modem na Data recovery?
Mimi napiga zote ila simu nipo kwenye software
Wakuu nataka nizamie Geita, tofauti na biashara ya madini ni biashara gani nyingine inayolipa!?Karibu mzee kwa hapo lazma uzichange soko lipo wazi kubwa uaminifu kwenye kazi zako......karibu sna