Ujambazi mwingi, wakijua una laki 5 ndana wanakuja na a.k 47[emoji4]Kigoma kuna fursa kubwa sana ya kutoka kimaisha, wengi waliothubutu wamefanikiwa na huwezi kuwashawishi kuondoka kigoma.
Kumbuka kuna mpaka wa Congo na Burundi na mkoa umeunganishwa n Zambia kupitia ziwa Tanganyika...moaka hapo fursa umeshaiona.
Kwangu mi ntakwambia mkoa mgumu kutoka kimaisha ni Dar, vijana wanaishia kuwa "wachuuzi" angalau kupata mia mbili mia tatu za kodi na chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kigoma ipi hiyo unayoizungumzia lkn nnachojua Mikoa mikubwa nchini ndiyo inayoongoza kw matukio ya wizi na ujambazi.Ujambazi mwingi, wakijua una laki 5 ndana wanakuja na a.k 47[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nimetoka kigoma miaka 10, pengine mambo yamebadilika, ila sura ya kigoma niliyo nayo ni bunduki nje njeSijui kigoma ipi hiyo unayoizungumzia lkn nnachojua Mikoa mikubwa nchini ndiyo inayoongoza kw matukio ya wizi na ujambazi.
Nna miaka mingi sana sijasikia wala kushuhudia tukio la ujambazi kigoma (mjini) hizo story za kahawani ziache kulekule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una ndugu au rafiki kigoma muulize mara ya mwisho kusikia/kushuhudia tukio la ujambazi ni lini?Ila nimetoka kigoma miaka 10, pengine mambo yamebadilika, ila sura ya kigoma niliyo nayo ni bunduki nje nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kutaja sababu za kutokutoba kwa mikoa hiyo wewe siyo great thinker umekuja general sana, Na pengine uzi wako hauna msaada kwa wengi wanaosaka maishaIeleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Acha uongo bwana kwa taarifa yako mkoa wa kagera ki uchumi hali ni mbaya kuliko maelezo, toka zao la kahawa, lianze kuendeshwa kisiasa, na migomba mingi kupata ugonjwa wa mnyauko ni balaa, mimi nimekulia huko, mzunguko wa pesa ni mgumu sana, hapo mtukula, kyaka bado hali ya kibiashara sio kabisa.Umeongea pumba mikoa yote iliyoko mipakani ni lahisi sana kutoboa nilikuwa Bukoba watu wanapiga ela sana kupitia mpaka wa mtukula
Itifaki imezingatiwa
Umekalili maisha ya kiuvivu sehemu yoyote ya mpakani kuna fedha ushakaa bunazi alafu biashara ya ndizi mbona inalipa sana kuna ndizi inaitwa fia mkungu 12000 wateja wamejaa wanatoka visiwani na Mwanza ndizi ya kuna vanila kilo 100000 Biashara ya nguo na viatu kutoa Uganda ambako ni bei rahisi sana zinalipa kuliko kuchukua dar ambako ni bei juu..kama hiyo haitoshi dar kilo ya maharage 2400 mpaka 3000 Bukoba kwa jumla 1000 mpaka 900 chukua ukauze..Dagaa debe 18000 peleka dar au Dodoma..Samaki na mabondo Mchele vinalipa sana UgandaAcha uongo bwana kwa taarifa yako mkoa wa kagera ki uchumi hali ni mbaya kuliko maelezo, toka zao la kahawa, lianze kuendeshwa kisiasa, na migomba mingi kupata ugonjwa wa mnyauko ni balaa, mimi nimekulia huko, mzunguko wa pesa ni mgumu sana, hapo mtukula, kyaka bado hali ya kibiashara sio kabisa.
Biashara ya vanila unaijua wewe? Wewe uliza ni kwanini wafanya biashara wengi hususani wa nguo na viatu wa bukoba, siku hizi wanafuata mzigo buseresere?, bukoba ki uchumi kumekaa kushoto sana, kwa tunaoifahamu kwa sasa, japo toka nyuma haiko vizuri ila kwa sasa, hapana. Bunazi hapo maeneo yote ya kuelekea kagera sugar, nimefanya sana, kahawa ndio zao lililokuea lina stimulate uchumi wa mkoa, tena hasa kwa biashara ya kupeleka uganda!!Umekalili maisha ya kiuvivu sehemu yoyote ya mpakani kuna fedha ushakaa bunazi alafu biashara ya ndizi mbona inalipa sana kuna ndizi inaitwa fia mkungu 12000 wateja wamejaa wanatoka visiwani na Mwanza ndizi ya kuna vanila kilo 100000 Biashara ya nguo na viatu kutoa Uganda ambako ni bei rahisi sana zinalipa kuliko kuchukua dar ambako ni bei juu..kama hiyo haitoshi dar kilo ya maharage 2400 mpaka 3000 Bukoba kwa jumla 1000 mpaka 900 chukua ukauze..Dagaa debe 18000 peleka dar au Dodoma..Samaki na mabondo Mchele vinalipa sana Uganda
kwahiyo ndiyo umemaliza???Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hata kama ukabila ni kweli upo basi anyamaze asiongee !!!hapo kweny ukabila sijajua unamaanisha nini, ila ungeweza kijenga hoja yako bila kuingiza ukabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Interesting, hivi sehemu ambayo kuna wenyeji kutoka makabila mengi huwa kuna ukabila wa wazi wazi kweli? Kama huko unakosema Arusha kuna kabila la wa masai, waarusha, wahiraq, wameru, wachaga sasa kwenye mseto wa aina hii ukabila unakuwaje?Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye red umesahau imani za kishirikina na ujambazi unaochangizwa na muingiliano wa watu kutoka nje ya nchiTatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app