Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Nimeishi Arusha mkuu na jamii ya kule Arusha waliojaa wengi ndio hao wa kutoka Kilimanjaro.
Kwa hiyo naamini tabia wanazozionyesha Arusha ndio hizo hizo za kutoka kwao Kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wenyewe halisi wa arusha sio wa kilimanjaro. Kuna wameru, na wamasai. Hawa ni wengi kuliko hata wachaga wenyewe.
Ww kama umeka arusha.. umekaa muda mchache.

Viwandani.. a to z.. kule wamejaa wanyaturu wengi kuliko hata wenyeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishindwa kupiga hela kwenye mkoa wa Kagera utakuwa mvivu hata Rais anajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Waongopee ambao hawapajui!! Hujiulizi ni kwanini ni mkoa wenye wasomi wengi lakini kwenye mikoa ambayo inaongoza kwa watu wake kuwa nankipato kidogo ni miongoni!! Mkoa unazidiwa mzunguko wa biashara na mji kama katoro!!! Mtukula ndio ulikuwa kidogo una changamsha mji wa bk, ila toka jiwe aweke kodi za ajabu ajabu, napo pamekufa
 
Kitu ninachokipenda huko kaskazini ni kutofatiliana maisha yaani Kila mtu na mambo yake...napenda sana haya maisha.

Hakuna kubebana bebana kwenye nagari ya marafiki Ila mchaga anakupa elimu ya kumiliki gari.

Nakupenda huko kaskazini Kwa sababu Kila mtu anaishi ndani ya bajeti yake.

Wachaga Wana umoja sana ndiyo maana sisi wenyeji tunasema wabaguzi.

Sijui lini nitarudi tena Moshi.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wee unajua wachaga au unawasikia? Yaani umfuge mchaga kwa siku 30 kwenye likiwanda lako alafu umpe elfu 50?huyo sio mchaga

Wachaga ni wafanyabiashara sio wa kupelekeshwa hovyo na wahindi viwandani ni bora aende dar mwanza au popote kua machinga kuliko kufanya hiyo biashara

Alafu hao wanafanya hizo kazi kwenye hivyo viwanda hawana muamko wa elimu kwenye Jamii zao, mchaga mpaka asome shule zote kwanza ndio maana ni wengi kwenye vyuo.

Njoo kwenye companies za utalii ndio utakutana na wachaga huko kwenye ajira za viwandani tumewaachia nyie
Mwambie huyo kenge alishawahi Ona mchaga housegirl au houseboy??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie huyo kenge alishawahi Ona mchaga housegirl au houseboy??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nyie mbulula mmekariri kwamba wote wanaofanya kazi viwandani wana maisha duni? inategemea upo kwenye position gani na hicho kiwanda kinazalisha Nini?Nenda kaulize kwenye viwanda vya bia na spirit wanalipwaje Kama hujaiona wewe ni mtumwa tu wa kubeba mizigo ya wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo bwana kwa taarifa yako mkoa wa kagera ki uchumi hali ni mbaya kuliko maelezo, toka zao la kahawa, lianze kuendeshwa kisiasa, na migomba mingi kupata ugonjwa wa mnyauko ni balaa, mimi nimekulia huko, mzunguko wa pesa ni mgumu sana, hapo mtukula, kyaka bado hali ya kibiashara sio kabisa.
Nakazia[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nyie mbulula mmekariri kwamba wote wanaofanya kazi viwandani wana maisha duni? inategemea upo kwenye position gani na hicho kiwanda kinazalisha Nini?Nenda kaulize kwenye viwanda vya bia na spirit wanalipwaje Kama hujaiona wewe ni mtumwa tu wa kubeba mizigo ya wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikuajir kwenye kiwanda changu kenge ww
Mkiambiwa mjiajiri hamtaki sasa Ngoja tuwanyooshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom