Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Mkuu wenyewe halisi wa arusha sio wa kilimanjaro. Kuna wameru, na wamasai. Hawa ni wengi kuliko hata wachaga wenyewe.Nimeishi Arusha mkuu na jamii ya kule Arusha waliojaa wengi ndio hao wa kutoka Kilimanjaro.
Kwa hiyo naamini tabia wanazozionyesha Arusha ndio hizo hizo za kutoka kwao Kilimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww kama umeka arusha.. umekaa muda mchache.
Viwandani.. a to z.. kule wamejaa wanyaturu wengi kuliko hata wenyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app