Budika Lambada
Member
- Mar 10, 2019
- 18
- 10
Kuna wahaya wapo uku kwetu mara wanaela mbaya maisha unafanikiwa popote tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona nimpite tuu....yaan yy kila kitu kusifia kagera!We jamaa sometimes unaniboa sana na sifa zako za kipuuzi
Kagera ni kugumu sana baada ya biashara ya kahawa kudorora
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuajiriwa mtumwa ww wengine tumeajiri watumwa Kama wwMimi naajiriwa kimataifa wewe una uwezo gani wa kuniajiri pimbi Kama wewe?
Au unafikiri Mimi ni wale wa kulipwa elfu 10 kwa siku?
Hao TBL wenyewe hawawezi kunilipa itakuwa kibaka Kama wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wamasai uliowataja wamesogea nje ya mji kuanzia kisongo,ngaramtoni to Longido.Lakini kwa hapo Arusha mjini wachaga ni wengi sana.Mkuu wenyewe halisi wa arusha sio wa kilimanjaro. Kuna wameru, na wamasai. Hawa ni wengi kuliko hata wachaga wenyewe.
Ww kama umeka arusha.. umekaa muda mchache.
Viwandani.. a to z.. kule wamejaa wanyaturu wengi kuliko hata wenyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitakapoanza kujiajiri sitaanza kwa kuunga unga Kama wewe ili mradi ujifariji kwamba una kampuni hata Kama haina faida.Mimi nitaanza kimataifa zaidi.Endelea kuajiriwa mtumwa ww wengine tumeajiri watumwa Kama ww
Mpaka siku mtakapo pata akili
Nijuavyo kenge Kama ww huwa asikii mpaka aone damu masikion
Sent using Jamii Forums mobile app
lahisi-rahisi
ela-hela
iliyoko-iliyopo
Hakuna itifaki iliyozingatiwa hapa mkuu!
Kuna dogo alikuja Arusha kufanyiwa usaili ktk shirika nililokuwa nafanya kazi, akaulizwa uko tayari ikiwa tutakupeleka mkoa wowote? Akasema, "niko tayari ila isiwe Arusha tu, Arusha maisha magumu!" Tatizo ni jinsi tunavyosikia na kuchakata taarifa tunazopewa. Hata mimi ilikuwa vigumu kukubali kuhamia Arusha, kama nisingetiwa moyo nisingekubali. Nilipokwenda Arusha ndipo nilipoanzia kufanikiwa, nilikaa Mwanza na Dodoma na sikupata mafanikio yoyote ya kiuchumi zaidi ya chakula, nilipokwenda Arusha mambo yakanyooka.
Changamoto ya lindi iko kwenye kilimo cha mazao mengine. Nasikia wanapuliza sanaMkuu upo sahihi kabisa hata Mimi niliwaza hivyo.
Mikoa Kama ya Lindi na mtwara inaingilika kirahisi na pia ni rahisi kuwashawishi watu wake ukiwa na biashara.
Hata ukinunua korosho tu tayar ni dili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mahause boy wa kichaga wengi sana mjini au wewe unazungumzia nini?
Viwandani day worker wakichaga wengi sana labda sijui wewe unazungumzia nini.Hivi wee unajua wachaga au unawasikia? Yaani umfuge mchaga kwa siku 30 kwenye likiwanda lako alafu umpe elfu 50?huyo sio mchaga
Wachaga ni wafanyabiashara sio wa kupelekeshwa hovyo na wahindi viwandani ni bora aende dar mwanza au popote kua machinga kuliko kufanya hiyo biashara
Alafu hao wanafanya hizo kazi kwenye hivyo viwanda hawana muamko wa elimu kwenye Jamii zao, mchaga mpaka asome shule zote kwanza ndio maana ni wengi kwenye vyuo.
Njoo kwenye companies za utalii ndio utakutana na wachaga huko kwenye ajira za viwandani tumewaachia nyie
Au wale wanaouza maduka ya watu huku mjini halaf wanapewa sehem ya kulala na kula si sawa tu na mahousegirl.Mbona mahause boy wa kichaga wengi sana mjini au wewe unazungumzia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi simuelewi huyu pimbi kwamba anamaanisha wachaga wote ni mameneja ama?Viwandani day worker wakichaga wengi sana labda sijui wewe unazungumzia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu ni wajinga sana mmoja wapo ni mtoa maada nahisi kama kuna wachaga wenzake wanaotaabika hapa mjine watakuwa wanamshangaa sana.Hata Mimi simuelewi huyu pimbi kwamba anamaanisha wachaga wote ni mameneja ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Au anataka kusema wale wanaotembeza bakuli za mbege mitaani huku Dar sio wachaga wenzake?Kuna watu ni wajinga sana mmoja wapo ni mtoa maada nahisi kama kuna wachaga wenzake wanaotaabika hapa mjine watakuwa wanamshangaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wamasai uliowataja wamesogea nje ya mji kuanzia kisongo,ngaramtoni to Longido.Lakini kwa hapo Arusha mjini wachaga ni wengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nikiona mtu anamlaumu mchaga kisa kabila lake hua najua ni lazima ana matatizo ya kichwa sababu kama ni ukabila basi wachaga wasingefanikiwa kuishi na jamii zote na kufanikiwa kila mahali kama ilivyo sasa, kama wachaga wangekua wa kabila basi biashara zao zisingefanikiwa kabisa huko mikoani sababu watu wangewchukuia
Unaongelea viwanda vipi? Hivyo vya a to z? Yaani katika wafanyakazi pale 7000 wachaga hawazidi 200, kwa taarifa yako kama hujui jinsi ajira za pale zilivyo ni kwamba wana ma agents wao huko Singida wanafanya kazi ya kuwakusanya wafanyakazi vijana waliomaliza primary sababu hakuna mwenyeji wa Arusha anaetaka kwenda kufanya kazi hapo sio waarusha wala wameruViwandani day worker wakichaga wengi sana labda sijui wewe unazungumzia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app