Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

We jamaa sometimes unaniboa sana na sifa zako za kipuuzi

Kagera ni kugumu sana baada ya biashara ya kahawa kudorora

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona nimpite tuu....yaan yy kila kitu kusifia kagera!

Mwaka Jana likizo yangu, nimeenda na biashara fulani ya wadada loooh!

Yaan hata elfu mbili ni ishu kwao[emoji848][emoji849]...

Mkoa mgumu sana ule kihela!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naajiriwa kimataifa wewe una uwezo gani wa kuniajiri pimbi Kama wewe?
Au unafikiri Mimi ni wale wa kulipwa elfu 10 kwa siku?
Hao TBL wenyewe hawawezi kunilipa itakuwa kibaka Kama wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuajiriwa mtumwa ww wengine tumeajiri watumwa Kama ww
Mpaka siku mtakapo pata akili
Nijuavyo kenge Kama ww huwa asikii mpaka aone damu masikion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wamasai uliowataja wamesogea nje ya mji kuanzia kisongo,ngaramtoni to Longido.Lakini kwa hapo Arusha mjini wachaga ni wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuajiriwa mtumwa ww wengine tumeajiri watumwa Kama ww
Mpaka siku mtakapo pata akili
Nijuavyo kenge Kama ww huwa asikii mpaka aone damu masikion

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitakapoanza kujiajiri sitaanza kwa kuunga unga Kama wewe ili mradi ujifariji kwamba una kampuni hata Kama haina faida.Mimi nitaanza kimataifa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fursa ni uwezo wa kuona kile wengine hawakioni, fursa ni uwezo wa kuona na ku-exploit kile ambacho wenzako hawaoni kama ni cha thamani. Nasikia pale Mwadui, alipokuja Williamson alikuta wenyeji wanatumia almasi kama solo kwenye mchezo wa bao! Sina hakika kama ni kweli, ila ni kweli kuwa wenyeji hawakuiona almasi kuwa ni fursa.

Kwa kifupi ni kuwa mikoa yote aliyoitaja mleta uzi ina fursa na rasilimali tele na wapo watu wanamaisha mazuri tu na hawataki kuhama huko, tatizo lake hajaona tu hizo fursa. Mfano, Mchaga akienda mkoa wowote, akikuta ardhi ipo ya kutosha, huwezi kumwambia kuwa hakuna fursa na akakuelewa.

Fursa ni kufunguliwa macho na kuona ambavyo wenzako hawavioni.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro, kigoma na Arusha ni sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dogo alikuja Arusha kufanyiwa usaili ktk shirika nililokuwa nafanya kazi, akaulizwa uko tayari ikiwa tutakupeleka mkoa wowote? Akasema, "niko tayari ila isiwe Arusha tu, Arusha maisha magumu!" Tatizo ni jinsi tunavyosikia na kuchakata taarifa tunazopewa. Hata mimi ilikuwa vigumu kukubali kuhamia Arusha, kama nisingetiwa moyo nisingekubali. Nilipokwenda Arusha ndipo nilipoanzia kufanikiwa, nilikaa Mwanza na Dodoma na sikupata mafanikio yoyote ya kiuchumi zaidi ya chakula, nilipokwenda Arusha mambo yakanyooka.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo sahihi kabisa hata Mimi niliwaza hivyo.
Mikoa Kama ya Lindi na mtwara inaingilika kirahisi na pia ni rahisi kuwashawishi watu wake ukiwa na biashara.
Hata ukinunua korosho tu tayar ni dili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ya lindi iko kwenye kilimo cha mazao mengine. Nasikia wanapuliza sana

God save us
 
Viwandani day worker wakichaga wengi sana labda sijui wewe unazungumzia nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kasema wamesogea nje ya mji?
Una wafaham waarusha? Ni jamii ya wamasai ambao inaishimjini. Wenyewe wanajiita waarusha.
Kuna wameru.. hapo town ni wa kumwaga. Wachaga wapo ndio lakin si wengi kama wenyeji.
Hao wamasai uliowataja wamesogea nje ya mji kuanzia kisongo,ngaramtoni to Longido.Lakini kwa hapo Arusha mjini wachaga ni wengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie huyo kenge alishawahi Ona mchaga housegirl au houseboy??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nikiona mtu anamlaumu mchaga kisa kabila lake hua najua ni lazima ana matatizo ya kichwa sababu kama ni ukabila basi wachaga wasingefanikiwa kuishi na jamii zote na kufanikiwa kila mahali kama ilivyo sasa, kama wachaga wangekua wa kabila basi biashara zao zisingefanikiwa kabisa huko mikoani sababu watu wangewchukuia

Ni wivu tu wanao juu ya wachaga utafikiri ndio wanafanikiwa, yaani usidhubutu kumpa kazi kwenye kiwanda chako huyu atakilipua kwa wivu akijua utafilisika kumbe kiwanda kina bima
 
Viwandani day worker wakichaga wengi sana labda sijui wewe unazungumzia nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea viwanda vipi? Hivyo vya a to z? Yaani katika wafanyakazi pale 7000 wachaga hawazidi 200, kwa taarifa yako kama hujui jinsi ajira za pale zilivyo ni kwamba wana ma agents wao huko Singida wanafanya kazi ya kuwakusanya wafanyakazi vijana waliomaliza primary sababu hakuna mwenyeji wa Arusha anaetaka kwenda kufanya kazi hapo sio waarusha wala wameru

Na kama wakienda kufanya kazi hapo watafanya kwa miezi mitatu tu wanapata mtaji wanasepa, huwezi kuniambia kitu pale sababu napajua vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…