Wamekuwekea ukabila au unaongea tu.
Achaa uree mnapenda kuwaonea wachagga kila kitu mnatuonea sasa acha uendelee kunifanya kuwachukia tu.Hata Mimi nilikuwa kwenye viwanda vya maeneo hayo na hivyo viwanda ulivyovitaja Kuna utofauti kidogo kwa sababu utawala wa juu ni wa wahindi lakini laiti utawala wa juu ungekuwa ni wa wachaga usingewakuta hao wasingida hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaweka Tanga hujafanya kituIeleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Ukabika wa kanda ya kaskazini haupo JF tu. Ukifika huko Arusha na Moshi ndo utaelewaKweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wewe ulienda Bukoba kama mpenz mtazamaji[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acha uongo bwana kwa taarifa yako mkoa wa kagera ki uchumi hali ni mbaya kuliko maelezo, toka zao la kahawa, lianze kuendeshwa kisiasa, na migomba mingi kupata ugonjwa wa mnyauko ni balaa, mimi nimekulia huko, mzunguko wa pesa ni mgumu sana, hapo mtukula, kyaka bado hali ya kibiashara sio kabisa.
Blaza hivi tunavyoongea mimi nipo Kampaka nimekuja kuchukua mzigo wa nguo. Huku bei ni za kuokota. Unachukua nguo kwa sh. 11,000 ya Uganda ambayo ni kama 6,500 ya Tz unakuja Bukoba unaiuza 15,000 ya TZ!Biashara ya vanila unaijua wewe? Wewe uliza ni kwanini wafanya biashara wengi hususani wa nguo na viatu wa bukoba, siku hizi wanafuata mzigo buseresere?, bukoba ki uchumi kumekaa kushoto sana, kwa tunaoifahamu kwa sasa, japo toka nyuma haiko vizuri ila kwa sasa, hapana. Bunazi hapo maeneo yote ya kuelekea kagera sugar, nimefanya sana, kahawa ndio zao lililokuea lina stimulate uchumi wa mkoa, tena hasa kwa biashara ya kupeleka uganda!!
Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
@kapeace hivi kweli dada kijana wa kawaida alikuwa anafanya biashara ya kahawa Kagera??We jamaa sometimes unaniboa sana na sifa zako za kipuuzi
Kagera ni kugumu sana baada ya biashara ya kahawa kudorora
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanunua mpakani Uganda unauza Tz kwa bei kama mara 2. Unataka fursa ipi tena mama?
Unapelekaje biashara sehem bila kufanya research kujua ni biashara gani inaenda kwa eneo husika?Nimeona nimpite tuu....yaan yy kila kitu kusifia kagera!
Mwaka Jana likizo yangu, nimeenda na biashara fulani ya wadada loooh!
Yaan hata elfu mbili ni ishu kwao[emoji848][emoji849]...
Mkoa mgumu sana ule kihela!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mkoa wa bukoba hapa dunianiIeleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Ndio maana wapo sinza kwa wahayaNimeona nimpite tuu....yaan yy kila kitu kusifia kagera!
Mwaka Jana likizo yangu, nimeenda na biashara fulani ya wadada loooh!
Yaan hata elfu mbili ni ishu kwao[emoji848][emoji849]...
Mkoa mgumu sana ule kihela!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unazungumzia wenyeji. Sisi tunazungumzia mtafutaji anayejielewa akiamua kwenda mahali kutafuta maisha uwezekano wake wa kutoboa. Nadhani sasa umenielewaMgumu sana mbali na kupakana na nchi tatu lkn bado tu
Kahawa ndo ilikuwa tegemeo kuu kiuchumi
Tabia za wahaya wengi ni wabaguzi wa kazi kuna kazi zinadharauliwa mfano kazi za vibarua wa kulima mara nyingi hufanywa na warundi, waganda wajanja sana ......wenyeji wamekalia kuchuuza bidhaa na kujisifia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Achaneni na wachaga au wahaya, tunajadili uwezo wa kutoboa. Wewe na kabila lako zuri au baya ukienda eneo husika kulingana na mazingira yaliyopo utatoboa. Tusichanhanye madawa jamani. Au mimi nimeelewa vibaya mada??Mhaya amlimie mtu shamba? Asubutuuuu [emoji28].....halafu wamekuwa walevi balaa!
Yaan huko vijijini mmh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau dodoma Ukipata 10k kwa siku yote inaishia sokoni
CC Zero IQ
inshu sio gharama ya maisha kuwa chini,kwenye uchumi kuna vitu vingi sana za kuangalia ,nyama kilo 5000,mchele ni 15000-2000,maharage kilo ni 2000,,samaki na dagaa bei ipo juu,ndizi kumi 1000!!!kodi ya nyumba ndio hizo kidogo kuna afadhari tena kwa wale wanao panga nyumba nzima!!huo una fuu wa maisha upo wapi kulinganisha na mzunguko wa pesa uliopo hapo?!!sema mkoa mwingine lakini bukoba hapana!!!!kwanza muingiliano wa watu ni mdogo sana kutokana na jiografia yake!!!hiyo vanilla kuilima unadhania ni kazi rahisi?mkuu tena biashara hiyo ya nguo watu wengi siku hizi wanafuata katoro kwanini?kama hujui siri hiyo fanya uchunguziBlaza hivi tunavyoongea mimi nipo Kampaka nimekuja kuchukua mzigo wa nguo. Huku bei ni za kuokota. Unachukua nguo kwa sh. 11,000 ya Uganda ambayo ni kama 6,500 ya Tz unakuja Bukoba unaiuza 15,000 ya TZ!
Kama unataka kufanya nicheki Pm nikupe full plan. Sio mnaongea vitu mnavyovisikia bila kuvifanya. Bukoba ina fursa kubwa sana ya biashara na watu wengi wanatoboa.
Kuhusu vanilla sio lazima ununue. Tunapoongelea fursa za kutoboa ni kutumia fursa zilizopo. Unaweza kulima vanilla pia ukatoboa. Kilo moja mbichi sasa hivi ni 120,000/= na watu tumetoka Dar na degree zetu tumerudi vijijini kuzilima.
Tatizo lenu wakisema fursa za kutoboa mnakimbilia kuwaza kununua Kariakoo na kuuza tu. Kingine Bukoba gharama za maisha ziko chini sana, kama upo makini na hesabu zako kutoboa ni rahisi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app