Dr Programmer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 313
- 343
Mkuu utakula bani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubishia kwenye muingiliano wa watu.hakuna mkoa wenye muingiliano mkubwa wa watu tz kama Kagera.mkoa huu ndo unaongoza Kwa wahamiaji Kwa sababu ya giografia yake ndo maana ukimwi ulipitia huko na tishio la ebola wanaanzaga na Kagera Kwanza maana kwa muingiliano wa watu kutoka mataifa mbalimbali ni kubwainshu sio gharama ya maisha kuwa chini,kwenye uchumi kuna vitu vingi sana za kuangalia ,nyama kilo 5000,mchele ni 15000-2000,maharage kilo ni 2000,,samaki na dagaa bei ipo juu,ndizi kumi 1000!!!kodi ya nyumba ndio hizo kidogo kuna afadhari tena kwa wale wanao panga nyumba nzima!!huo una fuu wa maisha upo wapi kulinganisha na mzunguko wa pesa uliopo hapo?!!sema mkoa mwingine lakini bukoba hapana!!!!kwanza muingiliano wa watu ni mdogo sana kutokana na jiografia yake!!!hiyo vanilla kuilima unadhania ni kazi rahisi?mkuu tena biashara hiyo ya nguo watu wengi siku hizi wanafuata katoro kwanini?kama hujui siri hiyo fanya uchunguzi
inshu sio gharama ya maisha kuwa chini,kwenye uchumi kuna vitu vingi sana za kuangalia ,nyama kilo 5000,mchele ni 15000-2000,maharage kilo ni 2000,,samaki na dagaa bei ipo juu,ndizi kumi 1000!!!kodi ya nyumba ndio hizo kidogo kuna afadhari tena kwa wale wanao panga nyumba nzima!!huo una fuu wa maisha upo wapi kulinganisha na mzunguko wa pesa uliopo hapo?!!sema mkoa mwingine lakini bukoba hapana!!!!kwanza muingiliano wa watu ni mdogo sana kutokana na jiografia yake!!!hiyo vanilla kuilima unadhania ni kazi rahisi?mkuu tena biashara hiyo ya nguo watu wengi siku hizi wanafuata katoro kwanini?kama hujui siri hiyo fanya uchunguzi
Pamoja na kuwa SMART ni muhimu lakini maelezo yako hapo chini naona yameegamia kwenye SWOC analysis.Siyo kweli mkuu
Kufanya biashara unatakiwa uwe na element zifuatazo.
SMART
S-Specific
M-Measurable
A-Attainable
R-Realistic
T-Time bond.
Hivyo lazima uisome jamii yako (Mila na destur zao) itakayoizunguka/hudumiwa na wewe ili ufanikiwe shughuli yako.
Mfano: Unaanzisha Mgahawa halafu unauza nyama ya Nguruwe kwenye jamii Kubwa yenye Iman ya Uislam.
Utatobowa kweli hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa nazungumzia muingiliano wa watu kutokana na shughuri za kiuchumi, kama ilivyo mikoa mingine ya mipakani!! Sasa unapakana na burundi, Rwanda, kule kuna nini? Kidogo hiyo mtukula nayo ni ya miaka ile. Nenda mipaka inayopakana na kenya, au tunduma ndio utanielewa ninachozungumzia hapa na sio wahamiaji!!!Nakubishia kwenye muingiliano wa watu.hakuna mkoa wenye muingiliano mkubwa wa watu tz kama Kagera.mkoa huu ndo unaongoza Kwa wahamiaji Kwa sababu ya giografia yake ndo maana ukimwi ulipitia huko na tishio la ebola wanaanzaga na Kagera Kwanza maana kwa muingiliano wa watu kutoka mataifa mbalimbali ni kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Mkoa una tatizo gani Mkuu?Manyara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumekukOsea nini mzee!?Manyara
Husisahau ata hapo ulipo wanarun uchumi na kuwaletea huduma muhimu karibu.
Waambie bhana mie niko ruvuma hali ngumu kweli ila sio malambo bariadi maana fursa ni nyingi sana kuuza maji tu kwa siku unapata hela kibaoMaisha ni popote.. Changamoto za kwenye hiyo mikoa ndio fursa zenyewe...
Umeitaja Simiyu? Unaijua Simiyu lakini? Umeshawahi fika pale makao makuu ya mkoa, Bariadi?
Shida ya arusha wakora wengiKuna dogo alikuja Arusha kufanyiwa usaili ktk shirika nililokuwa nafanya kazi, akaulizwa uko tayari ikiwa tutakupeleka mkoa wowote? Akasema, "niko tayari ila isiwe Arusha tu, Arusha maisha magumu!" Tatizo ni jinsi tunavyosikia na kuchakata taarifa tunazopewa. Hata mimi ilikuwa vigumu kukubali kuhamia Arusha, kama nisingetiwa moyo nisingekubali. Nilipokwenda Arusha ndipo nilipoanzia kufanikiwa, nilikaa Mwanza na Dodoma na sikupata mafanikio yoyote ya kiuchumi zaidi ya chakula, nilipokwenda Arusha mambo yakanyooka.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
True, lkn kama hujihusishi na ukora, ni vigumu kukutana na ukora.
Vijana wengi vijijini kabla ya ujio wa pikipiki walijishughulisha na kahawa......kulima kulangua nk@kapeace hivi kweli dada kijana wa kawaida alikuwa anafanya biashara ya kahawa Kagera??
Au unazungumzia maisha ya wanakijiji wakulima kuwa magumu baada ya kahawa kushuka bei??
Kwanza kahawa haipo kwenye mawazo ya vijana. Hivi unaweza kutoka Dar useme unaenda Kagera kufanya biashara ya kahawa?? Tunazungumzia sehem yenye fursa za mtu mtafutaji kutoboa kimaisha. Nindenga wampelewa kitonsa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha pagumu, watu washamba
Nadhani hukuelewa mada ya mtoa post. Hata mimi kwa wakazi napaona ni pagumu kama wewe.Vijana wengi vijijini kabla ya ujio wa pikipiki walijishughulisha na kahawa......kulima kulangua nk
Kagera kugumu acheni sifa zisizo na mantiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha eti ar ukora na uhuni dah nimecheka sanaTatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo unajisemea tu ni ukweli niliishi geita na arusha kwetu ni meenyosha miguu juu sio mikonoUmeongea pumba mikoa yote iliyoko mipakani ni lahisi sana kutoboa nilikuwa Bukoba watu wanapiga ela sana kupitia mpaka wa mtukula
Itifaki imezingatiwa
Et dada genye zimeisha au badoUongo unajisemea tu ni ukweli niliishi geita na arusha kwetu ni meenyosha miguu juu sio mikono
Sent using Jamii Forums mobile app