Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Kama hupendi shirki pia achana na zinaa, yote ni machukizo kwa Allah,
Imani ya hakika ya 100%,kama binadamu ni ngumu kuwa nayo,kuweza kuhimili husda za kilimwengu, Amini hili, (Utakapo kuwa na imani kidogo sana kama punje ya haridali unaweza kuuamuru mlima uhame na ukatii)
Ona kipimo tulichopewa na mungu,
 
Imani ya hakika ya 100%,kama binadamu ni ngumu kuwa nayo,kuweza kuhimili husda za kilimwengu, Amini hili, (Utakapo kuwa na imani kidogo sana kama punje ya haridali unaweza kuuamuru mlima uhame na ukatii)
Ona kipimo tulichopewa na mungu,
Aisee
 
Ogopa sana hao wanaojifanya, au kuita wenzao wachawi, kwani hao ni hatari zaidi ya wachawi, trust me!
Uaminiwe ww kma nani ?

Uchawi upo na unafanya kazi sasa kwanini wachawi wasiwepo

Ttzo la uchawi linagombanisha sana jamii,mauaji,husda na chuki baina ya jamii ndo mna tunapinga uchawi kwa nguvu zote

Leo hii watu wangapi wamekimbia makwao na hawataki kurudi kabisaaa kisa imani za kishirikina.watu wanaacha majumba yao na kukimbia kusikojulikana ilimradi aishi salama

Watu wangapi leo hii wameuwawa kisa imani za kishirikina? Hlf unataka likaliwe kimya hili suala?

Acheni ushirikina jamani mtaishia pabaya
 
Ushirikina ni MBAYA sana.
 
Hakuna kitu sipendi hapa chini ya jua kama Imani za kishirikina. Kuna siku mzazi mwenzangu aliniambia anahisi Nina demu mpya na anamchezea sijui. Kuanzia siku hiyo nilimblock Kila sehemu sitaki kujua chochote kuhusu yeye.
Ila lazima ujue ushirikina upo na unafanya kazi, kujifanya huamini ushirikika na hujui kama upo wakati ushirikina umeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa ulikiwepo basi utatudanganya

Usishiriki shirki ila amini shirki ipo.
 
Huko nako kumeingiliwa, wakina mawamposa na mafuta yao pamoja na maombi yao ya laki 5 kwa kichwa yanatia aibu.
Hujalazimishwa kumfuata MWAMPOSA , ni kwa kutoelewa kwako ndio maana unanunua upako, maji na mafuta.
Ukiuelewa ukristo hutanunua hivyo vitu Wala kutoa sadaka za kulazimishwa
 
Ila lazima ujue ushirikina upo na unafanya kazi, kujifanya huamini ushirikika na hujui kama upo wakati ushirikina umeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa ulikiwepo basi utatudanganya

Usishiriki shirki ila amini shirki ipo.
Ninaamini kwa asilimia zote hii kitu ipo kwani hata ofisini kwetu naona watu wengi mpaka maboss wanaamini/ kufanya Mambo hayo. Wanafika mbali mpaka kunishawishi kuingia katika Imani zao hizo lakini kiukweli kutoka moyoni SIPENDI hizi Mambo hata kidogo na sikuwahi kuwaza kuwa mmoja wa waumini.
 
Ahsante kwa taarifa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Wamaalifatu dinu biadila.
Manhaji iliyosalimika.

Me ni nawakubali sana masalafi sema dunia tu inanihadaa sana.
 
Hua nashangaa sana kuona mtu akiamn ujinga huu.
 
Mpka hpa upo mbali sana na Elimu

Hta nikwambie vipi hutoweza kunielewa

Kwaio muombe Allah akupe ufahamu wa kuijua haki
Uchawi si ushirikina,ni uelewa mbaya tu juu ya shirki,malaika walifundisha uchawi hawakufundisha shirki,wanaoitwa washirikina kwenye Quran walikua wakiabudu sanamu,acha kujitia una elimu Sana na umeongoka na usalafi wako mnaogeuza wanazuoni kuwa miungu kwa kufuata fatwa zao badala ya Quran
 
Wamaalifatu dinu biadila.
Manhaji iliyosalimika.

Me ni nawakubali sana masalafi sema dunia tu inanihadaa sana.
Salafi wanawanukuu Sana wanazuoni katika kipi kifuatwe kipi kidifuatwe(fatwa) badala ya Quran..huko ni kigeuza wanazuoni kuwa miungu badala ya Allah,na Allah kaonya Hilo kwenye Qur'an
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…