Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ni ajabu kwenda kupeleka malalamiko kwa mtu anayeishi marekaniKuna wanaume halafu ni tatizo sana ,wako humu
Kwamba unamlalamikia mtu anayeshi marekani ila tunasafari ndefu sanaWewe ndio haujitambui!,ile ni independent page.
Hapa bongo hamna sehemu selama ya kuandika anayo andika mange
Ndo hapo panaposhangazaWatanzania wengi ni wanafiki ,hawako straight, hata kama mtu kakosa hamwambii hapo hapo anaenda kulalamika kwa mtu wa Pembeni, sijui chanzo nini
Wewe mwenyewe unashangaza halafu unawashangaa wengine. Kweli nyani haoni ****** wake.Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana
Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi mwao, yale mambo mazuri wanayoyaona nchi nyingine yanaweza fanyika hapa Tanzania
Sipingi harakati za dada wa Taifa ila zitakuwa na maana kama watu wakienda front tofauti na hapo haiana haja ya kulalamika
Ni hatari kuwa na aina hii kizazi
tunayetakiwa kumpelekea keshasema yeye ni chura kiziwiNi ajabu kwenda kupeleka malalamiko kwa mtu anayeishi marekani
Chanzo ni CCMWatanzania wengi ni wanafiki ,hawako straight, hata kama mtu kakosa hamwambii hapo hapo anaenda kulalamika kwa mtu wa Pembeni, sijui chanzo nini
Mimi sikuwahi na sitawahi kumpelekea malalamiko mtu anayeishi marekaniWewe mwenyewe unashangaza halafu unawashangaa wengine. Kweli nyani haoni ****** wake.
Hata mwenza wako anaweza kuwa anachepuka na mtaa mzima na kila mtu anafahamu including marafiki zako lkn hawakuambii.Watanzania wengi ni wanafiki ,hawako straight, hata kama mtu kakosa hamwambii hapo hapo anaenda kulalamika kwa mtu wa Pembeni, sijui chanzo nini
Kwani kufanya engagement na watu ni vibayaSasa unaanza kwenda sawa na jukwaa,ushaingia kwenye mfumo.
Urais wa nyokwe😁
Alienda kulalamika akakuta watu wengine wameshalalamikia kile alichopanga kukiwasilisha kule.Wewe ulienda kuangalia nini kwenye huo Ukurasa
Kwaio mimi nimekuombea mabaya usiwe Rais wa hii nchi?Kwani kufanya engagement na watu ni vibaya
Ila mbona watanzania tunapenda kuombeana mabaya
Kumbuka Rais anaongoza watu
CrapWewe ndio haujitambui!,ile ni independent page.
Hapa bongo hamna sehemu selama ya kuandika anayo andika mange
Sijawahi mlalamikia dada wa Taifa kwa chochoteAlienda kulalamika akakuta watu wengine wameshalalamikia kile alichopanga kukiwasilisha kule.
Alikasirika!