Ukienda kwenye wall ya dada wa Taifa iliyopo Instagram utawashangaa watanzania wengi wanavyomlalamikia mtu anayeishi marekani

Ukienda kwenye wall ya dada wa Taifa iliyopo Instagram utawashangaa watanzania wengi wanavyomlalamikia mtu anayeishi marekani

Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana

Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi mwao, yale mambo mazuri wanayoyaona nchi nyingine yanaweza fanyika hapa Tanzania

Sipingi harakati za dada wa Taifa ila zitakuwa na maana kama watu wakienda front tofauti na hapo haiana haja ya kulalamika

Ni hatari kuwa na aina hii kizazi
Akili zako ndogo sana
 
Back
Top Bottom