Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

Huna baya mdogo wangu,Mungu akubariki uendelee kuwapa elimu ya bure kama hiivijana wenzako.[emoji120]
 
Asante sana mkuu Robert Heriel.
 
Mkuu wewe ni mtu special sana.
ahsante saaana kwa kutuelimisha.
 
Hili swala la kuwa na mpenzi hebu tuliangalie kwa upana (Ikibidi waliosoma vitabu kuhusu women) waje watuelezee tuone jinsi gani woman can influence or defluence men development. Nmeona ata SirJeff Dennis (zamani ONTARIO) ameonya kuhusu kuwa na mpenzi kama unataka kufanikiwa sasa kuna haja kulijadilo hili suala.
Mkuu Robert Heriel kama hutajali ukipata time ujaribu kuja na bandiko linalohusu hawa viumbe jinsi wanavoweza kutu influence kuendelea ama kuturudisha nyuma kimaendeleo
 
[emoji3516]
KWA KUONGEZEA-

UNAPOENDA KUPIGA TONGOZO,
HALAFU MFUGO UNAANZA KUKUPIGA MIZINGA KIBWEGEBWEGE-
TOKA MBIO!!!
 
Bustani ya matunda hii.
Mungu akuzidishie hekima mkuu.
 
Hii ni kweli,ukitoatoa shahawa bila mpangilio zinaondoa kinga na nguvu ya mwili kiroho..wanawake Wana gundu Baya Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…