GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kama Wewe umewekeza kutwa tu Kumtukana, Kumdhalilisha, Kumchokoza na Kumchafua GENTAMYCINE kwanini BAN isikukute?Tujaribu kuishi humu.
View attachment 3632747
Free Seran
Free secretarybird
Free adriz de mbusii
Free ......
mmh watu yanawatoka mapovu, au alikukataa?Huyo wa kuitwa seran akome
Hahahahah wendawazimu wote wamepumzishwa!Yani wanangu wote wote wamepigwa umeme π, ila sio kesi
Kwani walikutukana wewe Boss?Kama Wewe umewekeza kutwa tu Kumtukana, Kumdhalilisha, Kumchokoza na Kumchafua GENTAMYCINE kwanini BAN isikukute?
Pongezi nyingi kwa Moderators wa JamiiForums kwa sasa kuanza kuchukua hatua kwani Watu walidhani wapo juu yao hapa.
Kwani hao waru wakila ban kuna shida gani?
Mi naomba unipe wewe mjomba angu πππNakutafutia au kuna njia ulitaka kuipendekeza tukuokoe π
Ndo sababu ukafunga vioo kule PM??,sio kila mtu akikufata PM ana nia mbaya mkuu.
Kufru hiyo mjomba subir nikutafutie mtu πMi naomba unipe wewe mjomba angu πππ
mjomba jamani ππππKufru hiyo mjomba subir nikutafutie mtu π
Mjomba shida nini ?mjomba jamani ππππ