Ukienda nje ya hapa lazima BAN ikuhusu tu

Binafsi huwa sioni haja ya kugombana na binadamu wa humu ndani.
Maneno au vituko vya humu si vya kuvifatilia au kuumiza mpaka mgombane.
Kama mimi mbona nilishazushiwa Kuwa ni tapeli nalike ili waja humu wanitongoze.
Niliona ni ujinga nilipiga kimya mpka wakaacha siku hizi nimegeuka kuwa dada wa heshima.
😅 , mimi nasahau hata nilio gombana nao ,kuwakumbuka naweka ignore tu
 
Binafsi huwa sioni haja ya kugombana na binadamu wa humu ndani.
Maneno au vituko vya humu si vya kuvifatilia au kuumiza mpaka mgombane.
Kama mimi mbona nilishazushiwa Kuwa ni tapeli nalike ili waja humu wanitongoze.
Niliona ni ujinga nilipiga kimya mpka wakaacha siku hizi nimegeuka kuwa dada wa heshima.
Nikiona mtu yupo serious anataka tugombane huwa nachagua kunyamaza kimya.
Mara nyingi watu humu hawapo serious wanatumia ugomvi kama kitu cha kujiliwaza.
 
Sawa nimekupa nimekupata, ni nini kilikufanya uwe na Id nyingi?
Kuna siku nilibadili password wakati napata kinywaji, asubuhi nimesahau. Hapo nyuma huduma ya kupata nenosiri ilikuwa changamoto tofauti na sasa hivi, baada ya majaribio kadhaa kutofanikiwa ikabidi nifungue hii.

Nilipata access tena ya hiyo acc nikawaomba mods waunganishe na hii, sijapata kusaidiwa mpaka leo
 
Kuna member alikuwa anaitwa ubena sijui Nini, huyu alikuwa anatukana na Wala hakuwahi kupewa ban,

Akatushtaki Kwa mod kuwa tunamtukana😂,,,,kikao kilifanyika Pm,
Mimi,mshana,shimba ya buyenze,taavid na mod😂

Baadae mod akututhibitishia yule mwamba Hana akili timamu,ana ugonjwa wa akili,

Sasa mtu kama huyu humu jf wapo tele,anakuvamia halafu wewe ndiye unapigwa ban.
 
Mod alifatilia hadi cheti chake cha mirembe😂
 
Eeh,alisema anamjua,kuwa tumpotezee ana matatizo ya akili tusimjibu😂😂😂

Yaani kule Uzi wa vituko,yaani mie alikuwa ananiambia nadate na mshana na shimba na wanaume wote wa Uzi wa vituko,Kisha anakutukana,

Aliachaga mwenyewe sijui alipoteleaga wapi yule chizi.
 
Mods wanawajua watu wengi humu
Kuna mod alinambia akikutana na mimi njiani atanijua na ataniita kwa majina yangu yote matatu😂
 
Kuna member alikuwa anaitwa ubena sijui Nini, huyu alikuwa anatukana na Wala hakuwahi kupewa ban,

Akatushtaki Kwa mod kuwa tunamtukana😂,,,,kikao kilifanyika Pm,
Mimi,mshana,shimba ya buyenze,taavid na mod😂

Baadae mod akututhibitishia yule mwamba Hana akili timamu,ana ugonjwa wa akili,

Sasa mtu kama huyu humu jf wapo tele,anakuvamia halafu wewe ndiye unapigwa ban.
Kumbe mlikuwa kwenye kikao na yule jamaa na hamsemi.
Nilishangaa kwa matusi yale aliwezaje ku survive.
 
Back
Top Bottom