Seran alijichanganya wapi hadi wakamlamba banTujaribu kuishi humu.
View attachment 3632747
Free Seran
Free secretarybird
Free adriz de mbusii
Free ......
NasinziaNa Messi Vs Yamal unamuachia nani?
Naona unawachota tu hapa members wenge sukari na kiharusi wajae kwenye rungu la mods, tushashtuka.Mnaokula wali mnawezaje?
Wali huwa haushuki bora ugali. Nimeanza kula tokea saa 1 mpaka sasa sijamaliza.
😂😂😂😂Dah! Nimeletewa ujumbe na Mods ikabidi niifute comment yangu fasta! Leo kazi ipo.
Alinisagia kunguni nikiwa matatizoni apelekewe moto 🔥🔥Acha wivu mkuu 😂
Kuna nini huku jamaniWivu wako sio mzuri
kumbe na makundi tenaNimefeli kuelewa vikundi vya ugomvi vya humu
Kuna kitu nilitaka kuona😅Ye sio lofa😂 katupa taulo mbele
wale vijana waliokuja na agenda za makebo this makebo that wote ni wa kizazikipya ?JF yenyewe siku hizi Haina watu kabisa wameikimbia imepoa engagement ndogo, bado wanapiga watu ban🚮🚮