Ukienda nje ya hapa lazima BAN ikuhusu tu

Ukienda nje ya hapa lazima BAN ikuhusu tu

Ila kuna watu wachokozi , mimi siamini kwamba mtu anaweza kuzingua kama haujamzingua, na mara nyingi wanaokula ban ndio wamechokozwa
Binafsi huwa sioni haja ya kugombana na binadamu wa humu ndani.
Maneno au vituko vya humu si vya kuvifatilia au kuumiza mpaka mgombane.
Kama mimi mbona nilishazushiwa Kuwa ni tapeli nalike ili waja humu wanitongoze.
Niliona ni ujinga nilipiga kimya mpka wakaacha siku hizi nimegeuka kuwa dada wa heshima.
 
Back
Top Bottom