KERO Ukienda Polisi kuwataka watrack Simu iliyobiwa, bila Pesa hufanikiwi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
wamekosa tu namna ya kuirasimisha tu ila rushwa imefanya watu wengi sana wakose haki zao au waharibiwe maisha.
Imagine unafuta huduma polisi anakwambia toa hela, akimkamata mtuhumiwa nae anatoa dau ya juu unabaki kuzungushwa! Mimi issue ya polisi labda iwe ya kufa ndo nitaenda vinginevyo ni kupoteza muda na pesa!

Polisi wanakula pande zote!
 
Imagine unafuta huduma polisi anakwambia toa hela, akimkamata mtuhumiwa nae anatoa dau ya juu unabaki kuzungushwa! Mimi issue ya polisi labda iwe ya kufa ndo nitaenda vinginevyo ni kupoteza muda na pesa!

Polisi wanakula pande zote!
kweli ktk maisha yangu nilikua najua Polisi ni watu smart sana ktk utendaji wa kazi zao kumbe ni jamaa wa hovyo sana, yani nimewashusha thamani hawa jamaa, huduma ya polisi inanunuliwa.
 
NENDS MBWEN HAMNA KUTOA PESA NA WAKO VERY COPPERATIVE
 
hawana weledi kabisa hao jamaa, wakiipata pia wanaweza wasikupatie wakaiuza na yule walomkamata nayo wanamkamua pesa wanamalizana
wewe unajibiwa bado tunafuatilia
 
Hela zao sio nyingi
 
kweli, ila kama Kazi yangu ingefanyika ningewalipa hiyo 100,000. ila hapo kuna kupoteza simu na laki moja pia itapotea polisi sio mtu wa kumuamini hata mara moja, wanakula uku na uku.
Sasa simu ni laki 280 sasa unaenda kuitrack yanini nunua simu broo . Ebo halafi ndio utqfute mtu mwenye connection na hao polisi au wale wanaopelekewa loss report ongea nao kishkaji bembeleza , mabosy na 40 sai plz nisaidieni nikiipata nakuja kutoa shukrani
 
Alikua kwa pikipiki.. alivonikwapua mi sikua na papara mana kwa ile kikiri kakara mwenzake akakosa stamina..

Basi wakaanguka na mwendokasi ukapita nao watu wanashangaa mi naenda nachukua simu yangu huyo bila kuuliza
Hii ilikua dar maeneo ya D.I.T kaka
 
Kuweza wanaweza sema wameweka pesa mbele, mimi nilipata simu yangu kupitia hao hao polis sema kuna polis kitengo cha cyber crime ni mtu ninamjua so sikutoa pesa yoyote zaidi ya kumpa asante tena bila kuniomba. Ila kwa sasa hata bila huyo jamaa yangu kama nimedhamiria najua ntaipata tu tena bila rushwa kikubwa niwe na muda wa kuamkia kwa mpelelezi wangu kila siku na longolongo likizidi napanda juu
 
🤣 hatari sana.
 
tanzania ni ka nchi fulani ka kipuuuzipuuzi
 
Hiyo yote ni miradi ya wakubwa wao na wala siyo siri
 
Shida ni serikal kwa ushirikiano na jeshi la polisi bado wanawaza kununua magari ya washa washa kununua mabomu ya machozi wanashikwa kuendana na mazingira ya sasa

Nliwai kutapeliwa ktk biashara zangu na hawa watu wa mitandaoni km 3 million bas nkaenda polisi kufika polisi wanaanza kunichukua maelezo cha ajabh maelezo yenyewe wanaandika kwenye karatasi wakat mm nmeibiwa mtandaoni na matapeli.

Yan kile kitendo cha polisi kuchukua karamu na karatas kuanza kuandika maelezo nkajiasemea tu moyoni pesa yangu imeenda akuna msaada apa
 
Wenzetu kila kiko computerized mfano. Unakuta askari wana piga doria usiku na gari nzuri tu kwenye gari wana computer iko connected na internet kila kitu wanachofanya km unakosa identity yako inaingizwa kuangalia km una makosa nyuma even hatavkm una kesi mahakamani itaonyesha haya mambo mpka ufike kituoni yanachosha
 
Lisiti unapewa?
 
Kibongo Bongo ukiiibiwa we assume tu umepoteza hakuna namna ya kupata vitu vyako. Polisi watachukua pesa yako na hakuna msaada utapata
 
Ni Police wachache sana wataingia peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…