Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
MitihaniNi Police wachache sana wataingia peponi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MitihaniNi Police wachache sana wataingia peponi.
usiwape hao pesa kwa maana wanaweza kuifatilia simu yako wakaipata na wakamtingisha waliyomkuta nayo then wakampiga pesa na wewe simu yako wasikurudishie,tena ukiwapa evidence kama IMEI na vingine hata kama hauifatilii wao wanaifatilia unakuwa ulaji waokweli, ila kama Kazi yangu ingefanyika ningewalipa hiyo 100,000. ila hapo kuna kupoteza simu na laki moja pia itapotea polisi sio mtu wa kumuamini hata mara moja, wanakula uku na uku.
kama uko Dar nenda pale Ilala sokoni jengo la NSSF nadhani ni ghorofa la 6 kuna wajamaa wanatrack simu,mnaingia mkataba kiofisi kabisa na wanakupa muda na kama haijapatikana kuna refund ya asilimia flani,wanaitwa wetrackTarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi 260,000/=
Nimeenda kituoni kama mara 4 hivi, sipati msaada wowote zaidi ya polisi kutaka Pesa. Mwanzo nilikua na Imani kubwa sana kwa Polisi, ila niliposikia kuhusu malipo ya kutrack simu,niliwaza kupoteza pia pesa maana polisi sio mtu wa kumuamini,anaweza kula pesa yangu na kazi isifanyike.
Nikaa pata wazo lingine kua niende kituo kingine cha polisi wanisaidie swala langu, uko walitaka 80,000/= ila niwalipe cash, na mi nikawapa ombi langu kazi ifanyike ndo niwape malipo yao. wao nao polisi wanasema kuna Ada ya kutrack simu, bila ada ya kiingilio kazi haiwezi kufanyika.
Kuanzia mda huo nilikata tamaa nikaona hii Huduma ya Kutrack simu inawezekana hawa Askari wetu hawaiwezi ndomana wanakua na longo longo, ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wao.
Wanajilipa pensheni mapema. Pensheni zao siku hizi nasikia ni 12mWanaiweza na pia ni wajibu wao lakini madai ya rushwa kwenye jeshi la polisi limekuwa ni tatizo sugu hasa kwa wananchi wenye kipato kidogo na wasio na ushawishi kwenye jamii yetu.
Na ukisha aapa pesa wana kufanya ATM 🏧 Leo wata kuambia ina soma mahali fulani, tupe pesa ya mafuta kesho wata kuambia ame hamia mnara mwingine. Shida sana hawa watuTarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi 260,000/=
Nimeenda kituoni kama mara 4 hivi, sipati msaada wowote zaidi ya polisi kutaka Pesa. Mwanzo nilikua na Imani kubwa sana kwa Polisi, ila niliposikia kuhusu malipo ya kutrack simu,niliwaza kupoteza pia pesa maana polisi sio mtu wa kumuamini,anaweza kula pesa yangu na kazi isifanyike.
Nikaa pata wazo lingine kua niende kituo kingine cha polisi wanisaidie swala langu, uko walitaka 80,000/= ila niwalipe cash, na mi nikawapa ombi langu kazi ifanyike ndo niwape malipo yao. wao nao polisi wanasema kuna Ada ya kutrack simu, bila ada ya kiingilio kazi haiwezi kufanyika.
Kuanzia mda huo nilikata tamaa nikaona hii Huduma ya Kutrack simu inawezekana hawa Askari wetu hawaiwezi ndomana wanakua na longo longo, ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wao.
Tafuta hela, hakuna simu ya laki 2Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi 260,000/=
Nimeenda kituoni kama mara 4 hivi, sipati msaada wowote zaidi ya polisi kutaka Pesa. Mwanzo nilikua na Imani kubwa sana kwa Polisi, ila niliposikia kuhusu malipo ya kutrack simu,niliwaza kupoteza pia pesa maana polisi sio mtu wa kumuamini,anaweza kula pesa yangu na kazi isifanyike.
Nikaa pata wazo lingine kua niende kituo kingine cha polisi wanisaidie swala langu, uko walitaka 80,000/= ila niwalipe cash, na mi nikawapa ombi langu kazi ifanyike ndo niwape malipo yao. wao nao polisi wanasema kuna Ada ya kutrack simu, bila ada ya kiingilio kazi haiwezi kufanyika.
Kuanzia mda huo nilikata tamaa nikaona hii Huduma ya Kutrack simu inawezekana hawa Askari wetu hawaiwezi ndomana wanakua na longo longo, ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wao.
Bora wewe umesemaNgoja nikupe hadithi ya kuchekesha! Au tuseme ya kufurahisha.
Mwaka 2018 nilipoteza simu yangu sumsung kali nilinunua laki 9. Kwa Bahati nilikua na imei. Nilienda TCRA ili ifungwe kumkomoa "aliyeiba" ili tukose wote! Yule mtu wa cyber wa TCRA akanihakikishia simu imefungwa.
La haula! Baada ya kama mwezi niliipata simu imetumbukia ndani ya sofa! Sebuleni kwangu! Kuiwasha simu inawaka na inafanya kazi kama kawaida!
Tanzania kuna usanii mwingi sana!
Wengi humu wanasema police hawana hyo software ya kutrack simu kujua ipo wp sasa ww ukitaka udhibitisho kuwa wanayo au hawana hyo program nenda kwenye Instagram account ya mheshimu waziri yoyote halafu utoe maneno ya kashfa baada ya siku moja tu utapata jibu kama unaweza kujulikana upo wapi
[emoji23][emoji23]Kitengo cha upelelezi kuna ambao wamepewa hiyo access na simu juu kwaajili ya kazi hiyo ya kupambana na uhalifu kwa njia ya mtandao.
Cha ajabu hicho kitengo wamekigeuza dili
Ni mambo ya aibu na ajabu kubwa
Wakikosa wateja wanaanza kuzunguka mtaani na kuuza simu bei chee then kesho tu wanakuja kukushika kuwa una simu ya wizi na ilipoibiwa ziliibiwa million 10 . Hutoki ndani mpaka ulipe pesa hiyo iliyotajwa kisha simu wanaichukua wanakwenda kuuza mtaa mwingine.
Hii nchi hapana
Na wakati mwingine unaweza kutoa hiyo hela ikaliwa na usisaidiweTarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi 260,000/=
Nimeenda kituoni kama mara 4 hivi, sipati msaada wowote zaidi ya polisi kutaka Pesa. Mwanzo nilikua na Imani kubwa sana kwa Polisi, ila niliposikia kuhusu malipo ya kutrack simu,niliwaza kupoteza pia pesa maana polisi sio mtu wa kumuamini,anaweza kula pesa yangu na kazi isifanyike.
Nikaa pata wazo lingine kua niende kituo kingine cha polisi wanisaidie swala langu, uko walitaka 80,000/= ila niwalipe cash, na mi nikawapa ombi langu kazi ifanyike ndo niwape malipo yao. wao nao polisi wanasema kuna Ada ya kutrack simu, bila ada ya kiingilio kazi haiwezi kufanyika.
Kuanzia mda huo nilikata tamaa nikaona hii Huduma ya Kutrack simu inawezekana hawa Askari wetu hawaiwezi ndomana wanakua na longo longo, ni jambo ambalo liko nje ya uwezo wao.
Inategemea sasa unatumia device gani kwenda istagram mzee, kama unatumia computer yenye linux na ina browser ya tor na una vpn ipo on na ukawa unatumia proxy server ni ngumu hawawez kujua ulipo, ndio mana watu wengine wanaendaga tu kuwatukana hao viongozi kwenye page zao. Sio kila mtu anaetumia instagram and the likes anatumia simuWengi humu wanasema police hawana hyo software ya kutrack simu kujua ipo wp sasa ww ukitaka udhibitisho kuwa wanayo au hawana hyo program nenda kwenye Instagram account ya mheshimu waziri yoyote halafu utoe maneno ya kashfa baada ya siku moja tu utapata jibu kama unaweza kujulikana upo wapi
naomba msaada wako, ndugu yangu kama unaweza nikutanisha na huyo jamaa na Maana huyu polisi niliepewa mpelelezi wangu naoana kila siku kiswahili longo longo kibao.Kuweza wanaweza sema wameweka pesa mbele, mimi nilipata simu yangu kupitia hao hao polis sema kuna polis kitengo cha cyber crime ni mtu ninamjua so sikutoa pesa yoyote zaidi ya kumpa asante tena bila kuniomba. Ila kwa sasa hata bila huyo jamaa yangu kama nimedhamiria najua ntaipata tu tena bila rushwa kikubwa niwe na muda wa kuamkia kwa mpelelezi wangu kila siku na longolongo likizidi napanda juu