Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

Hahahahaha. Embu weka audio ya mlio unaofanania.
 
inawezekana mimba ilipatikana baada ya kumtembelea mganga wa kienyeji na akawapa masharti kuwa mtoto asiguswe
 
Fanya shambulizi la kimya kimya hakuna haja ya kushika fimbo.

Shika mkono vizuri kwenye msuli(hawezi kua na msuli) binya na dole gumba kwa nguvu kiasi utakutana na mfupa, kandamiza kama sekunde 10 hivi uone kama katarudia
Duu huu sasa ni ukatili
 
Mtu mzima kushindana na mtoto wa miaka minne ni tatizo, ni wazi malezi yako hayakua ya kitoto, ndio maana huoni furaha mtoto akicheka, akicheza, akideka, akiimba, akiiruka, sababu wewe vyote hivyo ulikosa.
Mtoto kuja na kuanza kunivuta shati,mara arushe rushe simu yangu ,mara anipande mgongoni, mara anifinye hiyo ndo unayoita michezo kweli? hiyo haiwezi kuwa michezo bali unakuwa unamfundisha mtoto upumbavu.

Katika dunia ya sasa kitu cha kwanza ni kuhakikisha mtoto wako hawi na mazoea zoea ya kijinga dhidi ya watu hata kama ni ndugu zake.

Mm nina dada yangu ana watoto wadogo watatu wawili ni wakiume na kamoja ni kakike, lakini ndani ya nyumba full heshima maana dada haleagi upumbavu,

Mm nikifikaga kwa sister huwa wanakuja wananisalimia alafu wanakaa hapo sebuleni huwezi kuona mtoto anakuja na kuanza kukuparamia ila kale katoto ka kike kananipendaga huwa kanapenda kuja pembeni yangu na kulala mapajani kwangu kwa upendo mkubwa ,wakiume huwa wanapenda kuniomba simu waangalie katuni nawawekea wakisha maliza wananirudishia simu yangu huwezi ona wanaichezea hovyo hayo ndio malezi yanayo takiwa.

Mtoto ni razima afundishwe kuwa na mipaka katika kila anacho kifanya tofauti na hapo mtoto ataharibika.
 
Unataka watoto wote wawe wa aina moja wamekua mazombie? Ukiona mtoto anafanya kitu sio kizuri si unamkemea hapo hapo kwann usubiri wazazi wake hawapo ndio ukavunje mfupa au ukavute mashavu?

Acheni kuweka ligi na watoto mnaitwa Watu wazima hovyo, miaka minne tu Duniani unataka aishi kama mzee wa miaka 80 kuweni na aibu basi.
 
nije Nikushukuru[emoji23][emoji23][emoji23]sioni kama kuna cha maana ulichosema hapo.
.yaani kufananisha malezi bora na kudekezwa ndo nije nikushukuru...ridiculous!

Siku mwanao asiingie anga zangu akileta ujinga nitakafinya[emoji846][emoji846]
 
Acha makasiriko hao wanaosema sijui kumvunja mifupa ,sijui kumbinya tako wanaongea tu kunogesha story tu usiwachulie silias.

Kuhusu watoto kufanana kwa hiyo mtoto akiiba ni sawa kwa sababu watoto hawatakiwi kufanana?
Watoto wawezi kufanana lakini wanatakiwa watofautiane kwenye tabia njema na sio tabia mbovu.

Narudia tena mtoto kumparamia na kumbugudhi mtu mzima ni tabia mbovu na sio mchezo kama unavyo sema.

Binadamu yeyote anatakiwa afundishe kuwa na mipaka.
Hata ww wazazi wako wamekuzaa na kukulea lakini bado kuna mipaka ambayo huwezi kuivuka juu yao na ndio maana huwezi kuacha baba na mama yako wamelala chumbani ww ukaingia humo chumbani bila ruhusa yao.

Mtoto anatakiwa kujua kuwa tabia ya kumgasi mtu ni moja wapo ya tabia mbaya sana.

Kuhusu suala la mm kumkanya je ikiwa nitamkanya na bado asikome ni mfanyeje? maana ww umesema kumuadhibu mtoto ni ukatiri.
 
Hilo toto limelelewa kinyoronyoro na kinyanyanyanya, haliwezi badilika ghafla likiwa na wazazi wake.
Linastahili lipelekwe kwa bibi halafu kuwe na wajukuu wengine km watano wanaomzidi umri, fasta huyo anakuwa na adabu.
 
Fanya shambulizi la kimya kimya hakuna haja ya kushika fimbo.

Shika mkono vizuri kwenye msuli(hawezi kua na msuli) binya na dole gumba kwa nguvu kiasi utakutana na mfupa, kandamiza kama sekunde 10 hivi uone kama katarudia
Wewe siumesema utajipiga bani ya miezi 6 au
 
Fanya shambulizi la kimya kimya hakuna haja ya kushika fimbo.

Shika mkono vizuri kwenye msuli(hawezi kua na msuli) binya na dole gumba kwa nguvu kiasi utakutana na mfupa, kandamiza kama sekunde 10 hivi uone kama katarudia
Yaani Wewe Na Mleta Mada Ni Mafala Sana Kama Vijana Basi Niny N Vjana Wa Hovyo Kabisa Mmenifanya Leo Nicheke Kwa Sauti Ndan Ya Gari.

Enz Zangu Mimi Nilikuwa Navifinyo Fulan Hv Alafu Sina Mazoea Na Watoto Dizain Hyo Wakinisalimia Wanaenda Mwilin Mwa Wazaz Wao Sio Kwangu
 
Comments za humu zinavunja Sana mbavu.

Mwingine anakwanbia "kategeshee mguu kale mwekeka". Huu si ugaidi!!?
 
Fanya shambulizi la kimya kimya hakuna haja ya kushika fimbo.

Shika mkono vizuri kwenye msuli(hawezi kua na msuli) binya na dole gumba kwa nguvu kiasi utakutana na mfupa, kandamiza kama sekunde 10 hivi uone kama katarudia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fanya hivi wakati unakabeba beba kamata tako moja halafu ufanye kama unaliviringa kwenda kulia....
Kakifanya ng`a na wewe unafanya ng'a,watajua mnacheza ila lazma wakakape panado maana katalalamika siku nzima..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Nikiwa Kama Anko Nakaeleza Kwa Upole Kabisa Kananirushia Vumbi Alafu Kanakimbia Kwa Yake Alafu Mama Yake Anakaambia Mtoto Usimrushie Anko Vumbi Basi Imeisha.

Kesho Kakirudia Unataka Nichukue Hatua Gan Kama Sio Kamfinyo?

Nikimpa Siku Moja Kanakufa? Katakuja Tena Mwilini Mwangu Kujifunza Uspider Man?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…