Iko hiviii,
Wewe mwanaume kwa mwezi kipato chako ni 500,000-laki tano
Ukiwa na mwanamke wa level zako, akakupiga mzinga wa 100,000-laki moja kwa mwezi, hakuna shida.
Tatizo linakuja pale unapoongeza wapili, watatu, wanne na watano
Wote huwezi kuwapa tena laki moja kwa mwezi, utawapa kidogo, kitachowapelekea na wao kutafuta wa kujalizia, ukigundua anachepuka, badala ya kuwapunguza, unatafuta mwingine wa kufix gap
Kwa style hiyo utapanda daladala wewe, mpaka ufanane na tiketi, mjinga wewe, unacheka, endekeza chini tu, unafikiri utazimaliza.