Ukiendelea kuhonga utabaki kwenye duara la umaskini wewe na familia yako yote

Kama Mimi jana nimehangaika kutwa mzima kutafuta chumba cha kumpangia Malaya. Cha ajabu kila akikiona hataki anasema hakina sifa, hela nalipa mimi, kitanda, fenicha zote Mimi. Kinachoniuma mwezi huu bi mkubwa sijampa hata shilingi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Extrovert
 
Haya Jamani.. nadhani mmemuelewa mleta mada..😂..muwe na weekend njema
 
....hiyo laana hwenda vidume wengi tumepata kwa namna moja ama nyingine daaaah acha tu...

Hizi ANDROGENS hiziiii....🤣
Mimi mwanamke anayekula hela zangu ni mmoja tu. Na ndio ambaye pia nilikula zake nyingi tu before.😂😂😂 sahii ni kama nalipa fadhila tu. I do it with a clean heart.
 
Habari za Leo wakuu.
Kuna ujinga fulani ulisha waingia wanaume, wakifanikiwa tu huwa hawakumbuki watu waliowasomesha au kuwapa mitaji.

Wengine walisomeshwa ili wazikomboe familia zao lakini wakisha kamatwa masikio na wanawake basi humalizia mishahara yao yote, mitaji yao yote na faida zao zote kuwanunulia kalolaiti wanawake, wengine humalizia pesa za saloon za kike kuwasuka wanawake wao, wengine humalizia pesa walioipata kwa shida kuwavisha watu ambao hawakununua hata daftari wala pencili ya kufanyia mtihani.

Wengine pamoja na ubinafsi wao huo wa kushindwa kuzikomboa familia zao huishia kuoa mapema ili wakamatwe kuwahudumia hao wanawake wao na mwisho wa siku huzaa vitoto ambavyo navyo baadaye vinaandaliwa kuwa maskini. Mwisho wa siku unakua ni mlolongo. Babu masikini, bibi maskini, baba na mama maskini, watoto masikini, ukoo mzima maskini. Linabaki kuwa ni duara la umaskini ambalo haliwezi kutoka.

Endelea kumaliza pesa yako saloon na kwenye hizo kalolaiti kwa vitu ambavyo havina msingi
Halafu basi wanawake wenyewe mnaowababaikia hata hawapendi kuhongwa, ukiona mwanamke anataka umhonge jua huyo hakupendi anataka tu material things kutoka kwako

Mwanaume anaokua real kwa mwanamke ana heshima yake bwana, wewe nenda na mamilion yako hapo halafu mwenzio anae ambae ni real kwake with or withoyt money penzi lipo na linadumu
 
.....moyo wa Simba!
.....moyo wa "kutochepuka"

👍
 
Hakika na kweli na iwe hivyo.

Wanume halisi mbadilike.
 
Halafu basi wanawake wenyewe mnaowababaikia hata hawapendi kuhongwa, ukiona mwanamke anataka umhonge jua huyo hakupendi anataka tu material things kutoka kwako

Mwanaume anaokua real kwa mwanamke ana heshima yake bwana, wewe nenda na mamilion yako hapo halafu mwenzio anae ambae ni real kwake with or withoyt money penzi lipo na linadumu
We ulisikia wapi "roho na nafsi" ya wanaume inatafuta "penzi" na "mapenzi" ya kweli kwa hao wanawake WAHONGWAO.....

We ulisikia na kuona wapi "roho na nafsi" ya mwanaume inaamua kuhonga nyingi eti apendwe na kuengwaengwa Kama Eva alivyomfanyia Adam pale bustanini?!!

Hormone za ANDROGENS ni za kimamlaka na kuwinda....pale mwanaume anapokuwa "apeche alolo yaani lofa" basi huwa na INTRAPSYCHLIC CONFLICTS kati ya nafsi na matamanio yake....mwisho HUNUNG'UNIKA...mwisho HUNUNG'UNIKIA wanawake na kila mmoja...🤣
 
Kama Mimi jana nimehangaika kutwa mzima kutafuta chumba cha kumpangia Malaya. Cha ajabu kila akikiona hataki anasema hakina sifa, hela nalipa mimi, kitanda, fenicha zote Mimi. Kinachoniuma mwezi huu bi mkubwa sijampa hata shilingi.
Kwa vile umeshalitambua hili, mpige block kisha hiyo kodi peleka kwa mama yako.

Kumbuka mwanamke alichotutenda bustani ua Edeni mpaka leo dunia inataabika kisa mwanamke.

Ukitaka kujua mwanamke haridhiki, fuatilia mtindo wake wa maisha. Hakuridhika na matunda yote bustanini akataka ale yote kitu ambacho mtangulizi wake Adamu hakuwahi kufanya. Sasa mwanamke anakosoa hadi uumbaji wa Mungu, kuanzia Nywele, kucha, kope, ngozi, shape, jicho nk.

Hawa viumbe hawa usipowaelewa utaugua kichaa shauri yako.
 
Back
Top Bottom