EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
- Thread starter
-
- #21
Kwani utajiri wa mtu wewe unaupimaje mkuu? Hebu jaribu kuchunguza hao wenye maghorofa familia zao zinaishi maisha gani? Chunguza kaka zake Huyo mtu, dada zake, wadogo zake wanafaidikaje na huo utajiri. Hao magorofa yake ni Huyo mwanamke atayalithi hayo jamaa akisha tangulia. Na utakuta hayo yenye magorofa hata likiombwa elfu 10 tu na ndugu zake mpaka lifanye kikao na wife ndio litasaidia. Wakati angetumia huo utajiri wake kusaidia familia yake maramoja angevunja duara la umaskini.Uwoga wako mkuu hakuna kanuni ya mafanikio. Wewe usiyehonga umewazidi nini hao wahongaji mkuu.
Mbona watu wamehonga magorofa lakini bado na v8 wametoa ila wanadunda wanazidi kupata zaidi
Kitu ambacho hujui, utajiri si matako kusema kila mtu lazima awe nayo. Ingekuwa utajiri ni mtu kupewa pesa, leo hii wastaafu wote wangekuwa mabilionea, lakini kiko wapi. Kuna ambao washapewa mitaji na ndugu zao, wakaishia kuhonga hizo hela na leo wako stendi wanapiga debe.Kwani utajiri wa mtu wewe unaupimaje mkuu? Hebu jaribu kuchunguza hao wenye maghorofa familia zao zinaishi maisha gani? Chunguza kaka zake Huyo mtu, dada zake, wadogo zake wanafaidikaje na huo utajiri. Hao magorofa yake ni Huyo mwanamke atayalithi hayo jamaa akisha tangulia. Na utakuta hayo yenye magorofa hata likiombwa elfu 10 tu na ndugu zake mpaka lifanye kikao na wife ndio litasaidia. Wakati angetumia huo utajiri wake kusaidia familia yake maramoja angevunja duara la umaskini.
Siku zote ukitaka kuwasaidia ndugu zako usiwape keshi, badala yake wape elimu hiyo ndio njia ya kuondoa umaskini mahali popote duniani. Wanadamu ni maskini kwasababu hawana elimu. Elimu pekee ndio long term solution ya kuondoa umaskini kwenye familia. Swali Je unaweza kutoa hata ada kuwapatia elimu hao ndugu zako kama tu elfu 10 mpaka uweke kikao na wife.Kitu ambacho hujui, utajiri si matako kusema kila mtu lazima awe nayo. Ingekuwa utajiri ni mtu kupewa pesa, leo hii wastaafu wote wangekuwa mabilionea, lakini kiko wapi. Kuna ambao washapewa mitaji na ndugu zao, wakaishia kuhonga hizo hela na leo wako stendi wanapiga debe.
Huyo ndugu yako tajiri, wakati anaanzisha biashara yake ya duka la rejareja alikuita uende ukakae kwake umsaidie kuuza, ukaona anataka akupotezee muda, ukaenda zako machimboni kusaka ruby, miaka kumi baadae umerudi huna cha ruby wala nandy, umemkuta ndugu yako anamiliki supermarket na sheli kadhaa, unataka mtaji, ngoja awawezeshe watu baki waliomvusha kwanza, wewe atakufikiria mwishoni, au kama vp toa ruby upewe mtaji.
Elimu ya mpaka wapi, na hao ndugu mko wangapi, na wote mnataka kusomeshwa na mtu mmoja?Siku zote ukitaka kuwasaidia ndugu zako usiwape keshi, badala yake wape elimu hiyo ndio njia ya kuondoa umaskini mahali popote duniani. Wanadamu ni maskini kwasababu hawana elimu. Elimu pekee ndio long term solution ya kuondoa umaskini kwenye familia. Swali Je unaweza kutoa hata ada kuwapatia elimu hao ndugu zako kama tu elfu 10 mpaka uweke kikao na wife.
Daimondi, jeshi mbona wamefanikiwaHakuna aliewekeza kwenye starehe akafanikiwa.
Mafanikio yao yametokana na jitahada zao. Hizo pesa zote wangewekeza kwa mademu tu.. wasingefikia hapa.Daimondi, jeshi mbona wamefanikiwa
Dah....kama wabongo walivyochagua...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
Dah....sasa huu ni uzembe binafsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama Mimi jana nimehangaika kutwa mzima kutafuta chumba cha kumpangia Malaya. Cha ajabu kila akikiona hataki anasema hakina sifa, hela nalipa mimi, kitanda, fenicha zote Mimi. Kinachoniuma mwezi huu bi mkubwa sijampa hata shilingi.
TulichaguliwaDah....kama wabongo walivyochagua...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Dah...unamjua Kalito Samaki? Mzee Kusaga? Diamond platinum?.... Dah [emoji2960]Hakuna aliewekeza kwenye starehe akafanikiwa.
Sijui nakwama wapiDah....sasa huu ni uzembe binafsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kanuni vijana msiogope kuhonga bana. So INA mana kama hatuhongi ndo hatutafanana na ticket ya hiace jamani.Iko hiviii,
Wewe mwanaume kwa mwezi kipato chako ni 500,000-laki tano
Ukiwa na mwanamke wa level zako, akakupiga mzinga wa 100,000-laki moja kwa mwezi, hakuna shida.
Tatizo linakuja pale unapoongeza wapili, watatu, wanne na watano
Wote huwezi kuwapa tena laki moja kwa mwezi, utawapa kidogo, kitachowapelekea na wao kutafuta wa kujalizia, ukigundua anachepuka, badala ya kuwapunguza, unatafuta mwingine wa kufix gap
Kwa style hiyo utapanda daladala wewe, mpaka ufanane na tiketi, mjinga wewe, unacheka, endekeza chini tu, unafikiri utazimaliza.
🤣🤣🤣Iko hiviii,

🤣Kwa mantiki hii kila asiyehonga apaswa kuwa birionea kama Raizaa
😲😲Hakuna kanuni vijana msiogope kuhonga bana. So INA mana kama hatuhongi ndo hatutafanana na ticket ya hiace jamani.
Ishu ya kutoboa ni kichwa chako. Wapo wanaojaza bia mezani nyama choma na Malaya wanakula ila bado wanapiga pesa. Sasa wewe unajibana mpaka kula na kutoboa hautoboi. Hakuna kanuni bana eti usipohonga ndo utatoka kimaisha
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah!Iko hiviii,