Ukiendelea kuhonga utabaki kwenye duara la umaskini wewe na familia yako yote

Kama Mimi jana nimehangaika kutwa mzima kutafuta chumba cha kumpangia Malaya. Cha ajabu kila akikiona hataki anasema hakina sifa, hela nalipa mimi, kitanda, fenicha zote Mimi. Kinachoniuma mwezi huu bi mkubwa sijampa hata shilingi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Extrovert
 
Haya Jamani.. nadhani mmemuelewa mleta mada..πŸ˜‚..muwe na weekend njema
 
....hiyo laana hwenda vidume wengi tumepata kwa namna moja ama nyingine daaaah acha tu...

Hizi ANDROGENS hiziiii....🀣
Mimi mwanamke anayekula hela zangu ni mmoja tu. Na ndio ambaye pia nilikula zake nyingi tu before.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sahii ni kama nalipa fadhila tu. I do it with a clean heart.
 
Halafu basi wanawake wenyewe mnaowababaikia hata hawapendi kuhongwa, ukiona mwanamke anataka umhonge jua huyo hakupendi anataka tu material things kutoka kwako

Mwanaume anaokua real kwa mwanamke ana heshima yake bwana, wewe nenda na mamilion yako hapo halafu mwenzio anae ambae ni real kwake with or withoyt money penzi lipo na linadumu
 
Mimi mwanamke anayekula hela zangu ni mmoja tu. Na ndio ambaye pia nilikula zake nyingi tu before.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sahii ni kama nalipa fadhila tu. I do it with a clean heart.
.....moyo wa Simba!
.....moyo wa "kutochepuka"

πŸ‘
 
Hakika na kweli na iwe hivyo.

Wanume halisi mbadilike.
 
We ulisikia wapi "roho na nafsi" ya wanaume inatafuta "penzi" na "mapenzi" ya kweli kwa hao wanawake WAHONGWAO.....

We ulisikia na kuona wapi "roho na nafsi" ya mwanaume inaamua kuhonga nyingi eti apendwe na kuengwaengwa Kama Eva alivyomfanyia Adam pale bustanini?!!

Hormone za ANDROGENS ni za kimamlaka na kuwinda....pale mwanaume anapokuwa "apeche alolo yaani lofa" basi huwa na INTRAPSYCHLIC CONFLICTS kati ya nafsi na matamanio yake....mwisho HUNUNG'UNIKA...mwisho HUNUNG'UNIKIA wanawake na kila mmoja...🀣
 
Kama Mimi jana nimehangaika kutwa mzima kutafuta chumba cha kumpangia Malaya. Cha ajabu kila akikiona hataki anasema hakina sifa, hela nalipa mimi, kitanda, fenicha zote Mimi. Kinachoniuma mwezi huu bi mkubwa sijampa hata shilingi.
Kwa vile umeshalitambua hili, mpige block kisha hiyo kodi peleka kwa mama yako.

Kumbuka mwanamke alichotutenda bustani ua Edeni mpaka leo dunia inataabika kisa mwanamke.

Ukitaka kujua mwanamke haridhiki, fuatilia mtindo wake wa maisha. Hakuridhika na matunda yote bustanini akataka ale yote kitu ambacho mtangulizi wake Adamu hakuwahi kufanya. Sasa mwanamke anakosoa hadi uumbaji wa Mungu, kuanzia Nywele, kucha, kope, ngozi, shape, jicho nk.

Hawa viumbe hawa usipowaelewa utaugua kichaa shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…