Ukiendelea kuhonga utabaki kwenye duara la umaskini wewe na familia yako yote

Yani uko sawa kabisa, toka nimeachana na mahusiano yasiyo na tija gharama za maisha zimepuungua kwa asilimia 40%. Vislay queen na videmu vya mizingu havifai kwa maendeleo yako.

Au ninasema uongo ndugu zangu?
 
mkuu uko sahihi ni kuvibana tu ili kubana matumizi. ile tunaita unawekeza for non sense
 
Kama Mimi jana nimehangaika kutwa mzima kutafuta chumba cha kumpangia Malaya. Cha ajabu kila akikiona hataki anasema hakina sifa, hela nalipa mimi, kitanda, fenicha zote Mimi. Kinachoniuma mwezi huu bi mkubwa sijampa hata shilingi.
Uzinzi ni gharama Sana
Halafu pia ni mzigo mzito Sana
Komaa mzee baba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…