- Hii Gari ukikaa ina sense kama umelewa
- inatumia mfumo Wa mafuta pia wese likikata unatumia chaji (ni ya kuchaji kama laptop
- ukiwa kwenye foleni ukikalibia kugonga mbele inapunguza speed yenyewe!
- ukisinzia nayo inazima!
- usipofunga mkanda haiondoki
- ukichomoa betri ukabusti then urudishe haiwaki HADI uwasiliane na RANGE ROVER waifanyie programming
- kamera kama zote
- ukichoka inakuamsha kwa alarm
- mafuta yakikaribia kuisha inakuelekeza Petrol station iliyokaribu na wewe
- fundi akichakachua spear wakati Wa matengenezo inakuambia kwenye screen HAIWAKI
- kifaa kikimaliza mda wake Wa matumizi hata kama ni Break pad inakuambia, na break zikianza kuisha haitembei speed hata ukanyage vipi.
- Ukijamba AC inajiwasha yenyewe (automatic)
- ukikalia siti inaonesha uzito wako
- kukiwa na hitirafu inakuonesha kwenye screen
- ukipotea inayo GPS
- ukipoteza Funguo, hauchongi kariakoo, Bali unawapigia range wanakupa gharama 3mil, then wanakuelekeza ufunguo Wa akiba walipo uficha humohumo kwenye Gari yako!
- ina gia za auto na za manual
- Milango yake haifungi kwa kubamiza kama kabati, Hata ukiusukuma kwa nguvu! haupigi kelele!
- na sifa zinginezo kibao!.
Push to start!!
KIUFUPI HII GARI UKIENDESHA, HALAFU UKAJA KUENDESHA HIZI GARI ZA KAWAIDA UNAWEZA FIKILI UMEKALIA KIBERENGE !!!!