Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Chang'aa haijawahi mwacha mtu salama..
FB_IMG_15531918615300124.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei sio tatizo,akutajie kwanza gharama ya kuikomboa Bandarini na ukiwa na hii gari Bashite lazima akuweke kwenye list ya Wauza Ngada kama si ya Mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiogope bei ya hio gari....ukikamatwa na trafiki inamalizana nae yenyewe wewe umetulia tu ndani unakula kiyoyozi huku unasikiliza nyimbo mpya ya baba diamond.
 
  • Hii Gari ukikaa ina sense kama umelewa
  • inatumia mfumo Wa mafuta pia wese likikata unatumia chaji (ni ya kuchaji kama laptop
  • ukiwa kwenye foleni ukikalibia kugonga mbeli inapunguza speed yenyewe!
  • ukisinzia nayo inazima!
  • usipofunga mkanda haiondoki
  • ukichomoa betri ukabusti then urudishe haiwaki HADI uwasiliane na RANGE ROVER waifanyie programming
  • kamera kama zote
  • ukichoka inakuamsha kwa alarm
  • mafuta yakikaribia kuisha inakuelekeza Petrol station iliyokaribu na wewe
  • fundi akichakachua spear wakati Wa matengenezo inakuambia kwenye screen HAIWAKI
  • kifaa kikimaliza mda wake Wa matumizi hata kama ni Break pad inakuambia, na break zikianza kuisha haitembei speed hata ukanyage vipi.
  • Ukijamba AC inajiwasha yenyewe (automatic)
  • ukikalia siti inaonesha uzito wako
  • kukiwa na hitirafu inakuonesha kwenye screen
  • ukipotea inayo GPS
  • ukipoteza Funguo, hauchongi kariakoo, Bali unawapigia range wanakupa gharama 3mil, then wanakuelekeza ufunguo Wa akiba walipo uficha humohumo kwenye Gari yako!
  • ina gia za auto na za manual
  • Milango yake haifungi kwa kubamiza kama kabati, Hata ukiusukuma kwa nguvu! haupigi kelele!
Ni RANGE ROVER NEW MODEL 2018

Push to start!!
View attachment 1062571
KIUFUPI HII GARI UKIENDESHA, HALAFU UKAJA KUENDESHA HIZI GARI ZA KAWAIDA UNAWEZA FIKILI UMEKALIA KIBERENGE !!!!
Mkuuu ni
ranger zote au kuna specific,maana kuna vogue,velar...n.k
 
Hii gari kama wewe ni baba na hujaacha hela nyumbani haitowaka. Na ukitaka kumpakiza mchepuko mlango haufunguki.
 
Back
Top Bottom