Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

alafu nasikia hiyo gari ikipita kwenye matope au maji mengi inajipunguza uzito alafu inaanza kuelea

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Imepitwa na mda hiyo za 2019 zipo barabarani na zimetoka mwezi uliopita
Naomba uniwekee specs zake pia maana nimeendesha range aina zote sijaona kama hiyo yako labda ni special edition hiyo
Hii chini niliendesha ilikuwa ni Autobiography ya 2017 ambayo ina mazagazaga kibao na ni top of the range ila haijafikia ya kwako mzee
20190404_161337.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi gari ikifika miaka 10 itaaanza kusumbua mpaka utatamani uitupe!! Maan kila mfumo. Utaanza kuchoka.
 
nimecheka sana, kwamba ukijamba tu ac inawaka!! mh.

kizingiti ni je wangapi wanaimudu kwa uchumi wetu wa tia maji? weka na bei ili. ndoto zeti ziyeyuke vizuri
Sasa mkuu, Tanzania tuko nyuma sana kwenye ku_tracy location mfano upo Mbwinde na zutu limekata itatumia nini kufahamu kituo cha mafuta killipo wakati 2G yenyewe hakuna kule.

Na hayo mamifumo kama yote mamionzi yake yana athari gani kwa mwili wa binadamu kwa sababu yanajua hadi vijambo si ndo kufa tafatibu huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja natoka kibada kigamboni naelekea chanika, sasa nikasema sitaki kupita darajani mbali huko kuna njia nimeambiwa unatokea mbagara mwanaume nikazana google map kilichonitokea sitasahau. Ilinipeleka hadi kitunda ndani ndani kabisa huko, niliendesha gari hadi taa ya mafuta iliwaka. Imagine nimetoka kibada saa 9 mchana nilifika chanika saa 5 usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile kampuni yetu ya mafuta na gesi vip bado inapokea wawekezaji, ulitukimbia mzee baba kwenye uzi...tupo tayar tunataka tuwekeze...
 
Back
Top Bottom