Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Haya mambo ya GPS angalau uwe na dira au ufahamu wa jumla kule unakoenda.. Kuna jamaa nafanya nao kazi, walitoka city center, wakawa wanataka kwenda maonyesho sabasaba, wakaweka google map, walijikuta wanakaribia kibaha ndio wakampigia mtu simu akawaambia wamepotea ...😛😛😛
Kuna shida kwenye instalation ya google map, hasa kweny sattelite walivyo note maeneo...kuna wakat nilikuwa natoka Mwanza naelekea Musoma, google map ikaniambia nipo along Sirari-Mbeya road..ndo nikachoka kabisa
 
Inaitwa Range Rover Velar ni hatari fire....

Remember, your mind is greatest asset.
 
Tunashukuru serikali ya awamu ya tano, si unaona chombo hicho.
 
  • Hii Gari ukikaa ina sense kama umelewa
  • inatumia mfumo Wa mafuta pia wese likikata unatumia chaji (ni ya kuchaji kama laptop
  • ukiwa kwenye foleni ukikalibia kugonga mbele inapunguza speed yenyewe!
  • ukisinzia nayo inazima!
  • usipofunga mkanda haiondoki
  • ukichomoa betri ukabusti then urudishe haiwaki HADI uwasiliane na RANGE ROVER waifanyie programming
  • kamera kama zote
  • ukichoka inakuamsha kwa alarm
  • mafuta yakikaribia kuisha inakuelekeza Petrol station iliyokaribu na wewe
  • fundi akichakachua spear wakati Wa matengenezo inakuambia kwenye screen HAIWAKI
  • kifaa kikimaliza mda wake Wa matumizi hata kama ni Break pad inakuambia, na break zikianza kuisha haitembei speed hata ukanyage vipi.
  • Ukijamba AC inajiwasha yenyewe (automatic)
  • ukikalia siti inaonesha uzito wako
  • kukiwa na hitirafu inakuonesha kwenye screen
  • ukipotea inayo GPS
  • ukipoteza Funguo, hauchongi kariakoo, Bali unawapigia range wanakupa gharama 3mil, then wanakuelekeza ufunguo Wa akiba walipo uficha humohumo kwenye Gari yako!
  • ina gia za auto na za manual
  • Milango yake haifungi kwa kubamiza kama kabati, Hata ukiusukuma kwa nguvu! haupigi kelele!
  • na sifa zinginezo kibao!.
Ni RANGE ROVER NEW MODEL 2018

Push to start!!

KIUFUPI HII GARI UKIENDESHA, HALAFU UKAJA KUENDESHA HIZI GARI ZA KAWAIDA UNAWEZA FIKILI UMEKALIA KIBERENGE !!!!
ajari = ajali
ukikalibia = ukikaribia
spear = spare
hitirafu = hitilafu
fikili = fikiri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom