Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

INSIDE

1062677

1062680

1062681
 
  • Hii Gari ukikaa ina sense kama umelewa
  • inatumia mfumo Wa mafuta pia wese likikata unatumia chaji (ni ya kuchaji kama laptop
  • ukiwa kwenye foleni ukikalibia kugonga mbeli inapunguza speed yenyewe!
  • ukisinzia nayo inazima!
  • usipofunga mkanda haiondoki
  • ukichomoa betri ukabusti then urudishe haiwaki HADI uwasiliane na RANGE ROVER waifanyie programming
  • kamera kama zote
  • ukichoka inakuamsha kwa alarm
  • mafuta yakikaribia kuisha inakuelekeza Petrol station iliyokaribu na wewe
  • fundi akichakachua spear wakati Wa matengenezo inakuambia kwenye screen HAIWAKI
  • kifaa kikimaliza mda wake Wa matumizi hata kama ni Break pad inakuambia, na break zikianza kuisha haitembei speed hata ukanyage vipi.
  • Ukijamba AC inajiwasha yenyewe (automatic)
  • ukikalia siti inaonesha uzito wako
  • kukiwa na hitirafu inakuonesha kwenye screen
  • ukipotea inayo GPS
  • ukipoteza Funguo, hauchongi kariakoo, Bali unawapigia range wanakupa gharama 3mil, then wanakuelekeza ufunguo Wa akiba walipo uficha humohumo kwenye Gari yako!
  • ina gia za auto na za manual
  • Milango yake haifungi kwa kubamiza kama kabati, Hata ukiusukuma kwa nguvu! haupigi kelele!

Ni RANGE ROVER NEW MODEL 2018

Push to start!!
View attachment 1062571
KIUFUPI HII GARI UKIENDESHA, HALAFU UKAJA KUENDESHA HIZI GARI ZA KAWAIDA UNAWEZA FIKILI UMEKALIA KIBERENGE !!!!

Mkuu hyo hints ya kwanza ikisense km umelewa then what next?
 
Kingine nachopenda kuhusu modern cars ni vitu vidogo vidogo kama kumbukumbu za settings za seat...

Huwa nakereka umempa mtu gari, akikurudishia ame-adjust seat... sasa kimbembe ni kukumbuka exactly ile position yako iliyo comfortable.. kila saa unapaki pembeni unaset kiti.

Sent using LF Electromagnetic Waves
hizo mambo zipo kwenye hivi viberenge lakini hii chuma hizo mambo hamna! Range rover Vogue new model 2018 ukikaa kwenye siti yenyewe inabalance uzito, na urefu! acha kabisa
 
Niliwasha GPS natumia pikipiki naenda roses garden
Mbona nilitafuta bodaboda anipeleke
Yaani mifumo yetu bado haijakaa standard aiseee
 
Kingine nachopenda kuhusu modern cars ni vitu vidogo vidogo kama kumbukumbu za settings za seat...

Huwa nakereka umempa mtu gari, akikurudishia ame-adjust seat... sasa kimbembe ni kukumbuka exactly ile position yako iliyo comfortable.. kila saa unapaki pembeni unaset kiti.

Sent using LF Electromagnetic Waves

Memory za seat(M1/M2) gari nyingi tu zamani za tangu 2005 huko zina hio option.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom