Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

Weee nae unaacha kuangalia vitu vya msingi unakazana na consonati na herufi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kuna lipi la msingi kuhusu Rabge Rover, Gari ambalo nnauhakika ha lipo katika range yako yako ya umiliki.

Halafu, hayo ya msingi unayawasilisha kutumia nini? Makalio au maandishi?
 
Hi gari ikifika miaka 10 itaaanza kusumbua mpaka utatamani uitupe!! Maan kila mfumo. Utaanza kuchoka.
Ikikanyaga bongo tu taa za cheki engine zote zinawaka ha ha ha ha ha
 
Pia ukiwa na pancha inakuonesha utatembea umbali gani kabla ya tairi kuharibika. Umbali huo ukifika inazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikikanyaga bongo tu taa za cheki engine zote zinawaka ha ha ha ha ha
Maana life span yake imekaribia mwisho hapo ndo. Utasikia Ranger rover 2018 mbovu kumbe muda wa kua bafabarani umeisha
 
Halafu mtu anakuambia nauza range new model baada ya miaka 20 kutumika

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwanza kuna lipi la msingi kuhusu Rabge Rover, Gari ambalo nnauhakika ha lipo katika range yako yako ya umiliki.

Halafu, hayo ya msingi unayawasilisha kutumia nini? Makalio au maandishi?
Aisee
 
We nae chizi tu.

'Rabge' Rover ni nini?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…