Ukifa leo nani atatoa lock kwenye simu yako?

Hua siweki simu password kwakua sina ya kuficha.. pia hua nahofu kama nikipata tatizo maybe naanguka watakaonisaidia watawasiliana vipi na ndugu zangu ?
Kutoa laini hua ni wazo la baadae sana mtu akikumbwa na tatizo
 
Simu ambayo huweki password ni smartphone au kitorch mkuu ?
 
Kwanini waitoe? Yaani atakae jifanya anapekenyua simu yangu nitamrudia kama ghost nitamuwinda maisha yake yote.

Kuna magemu mengi sana nimeishia level za juu sitaki mtu ayaendeleze kisha aniaribie..

Alafu wewe hautatusumbua simu yako si umeweka finger print ?
Au finger print inafanya kazi ukiwa hujafa ?
 
Ilikuwaje mkuu
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.

Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
 
Mipango Ya mungu haijulikani unaweza kabla ya kufuta hiyo browser history mungu akasema we dogo njoo kwangu.
Hata hivyo tuelekeze jinsi ya kufuta browser history na kutengeneza private browser history
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.

Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
 
Utafanya nishindwe kulala leo aisee. Naonaga kama imetokea jana wakati ni zaidi ya 2 years.

Utalala banaa, ntakubembeleza baada ya simulizi tena ntakuimbia na wimbo kabisaa huku nakupiga piga mgongoni usingizi utakuja tuu tena utalala fofofo....

Please simulia.....
 
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.

Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
Hahaha ,mkuu tusimulie tu
 
Si bora simu wata flash ..
Je pesa za kwenye line.

Mie nilikuwa najiuliza ..nina line nne kati ya hzo tatu zina mihela..
Najiuliza nikifa ghafla au nikugua ukichaa nani atazitumia pesa zangu.
Hakuna anaejua password.

Kuhusu simu siwekagi any password zaid lock ya kawaida tu ku (swipe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…