Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.Wengine tuna mambo yetu ya pornhub kwenye simu tumeyaficha,
waislam mtu anazikwa na sanda tu
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.
Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
Simulizi tafadhali ...
Hua siweki simu password kwakua sina ya kuficha.. pia hua nahofu kama nikipata tatizo maybe naanguka watakaonisaidia watawasiliana vipi na ndugu zangu ?
Kutoa laini hua ni wazo la baadae sana mtu akikumbwa na tatizo
NdiooHiyo tu?
Kwanini waitoe? Yaani atakae jifanya anapekenyua simu yangu nitamrudia kama ghost nitamuwinda maisha yake yote.
Kuna magemu mengi sana nimeishia level za juu sitaki mtu ayaendeleze kisha aniaribie..
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.
Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
Ndioo
Kuna cha aibu zaidi ya hiko ?
Me kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.
Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
Utafanya nishindwe kulala leo aisee. Naonaga kama imetokea jana wakati ni zaidi ya 2 years.
Hahaha ,mkuu tusimulie tuMe kila siku kabla sijalala nafuta browse history yote au hayo mambo nayaingia kwenye private browser.
Nishawahi kumbwa na fedhea sitaki kukumbuka. Ata nikiwa na usingizi nikikumbuka ile aibu usingizi uwa unakata.
Njoo uniambie kwa piemuVipo vingi tu.
Wakati ukifika utavijua tuNjoo uniambie kwa piemu
[emoji850]huwa unapenda sana kupotezeaWakati ukifika utavijua tu
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji850]huwa unapenda sana kupotezea